rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Sio wengi ni wachache hata watano hawafiki. Na hata huko kukataa haimaanishi kwamba hakuna hela ya maana. Kila mtu ana mipango yakeMkuu acha kudanganya watu labda mkrugenzi huyo mkuu wa wilaya hana chake wengi tu wanakataa hizo teuzi kama yule wa tigo