PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
…and mzee wa Tashwishwi karudishwa kitengoniMbaya ni kuendelea kuwepo kwa wazee wa ovyo na wanawagongea vijana wa ovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
…and mzee wa Tashwishwi karudishwa kitengoniMbaya ni kuendelea kuwepo kwa wazee wa ovyo na wanawagongea vijana wa ovyo.
Jamaa wa hovyo sana wanafurahia mambo kama haya wakisikia wanajipa moyoAsitiriwe, Wazee wa kataa ndoa watakuja kwa kasi hapa.
Hili ni tatizo la kukulia kwenye umasikini, ukiwa hata na hela baadae unakuwa na ki element cha roho mbaya ya kupenda kuona watu wakiteseka na kupata shida ,nimeona kwa watu wengi sana especially waliokulia vijijini , hawana upendo kabisa , wamejawa na chuki na visasi kama wachawi tuHivi kwanini wabongo mnapenda sana habari mbaya mbaya za watu!!!
…and mzee wa Tashwishwi karudishwa kitengoni
😁😁😁😁 afu tisa mia na kenda😀 😀 😀 mzee wa afu tisa mia hamsi na kenda ni mtu mbadi sana ,hapitwi na vitoto vya elfu 2.
Umeamua Vita iwe Vita baad ya Jana kukusemea MbovMasikitiko makubwa
Wanasema muda ni jibu sahihi sana kwa mwenye imani na subira.Vina mudaaa?
😂😂😁😁😁😁😁😁😂😂😁😁😁 Baba zuri walimpiga kumbe 😂😁😁😁😁Vincenzo Jr kumbe Kantri alipigiwa aisee .
Mheshimiwa DC kachapiwa kumbe Cc ephen_Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mke wa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu.
Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Ay,One the incredible, Mabeste na Nikki wa pili wameendelea kutu prove kuwa wanawake ni zaidi ya tuwajuavyo
Wote wamepigwa chini kwa style ya kushangaza sana
AY wameachana na yule Mtutsi?Ay,One the incredible, Mabeste na Nikki wa pili wameendelea kutu prove kuwa wanawake ni zaidi ya tuwajuavyo
Wote wamepigwa chini kwa style ya kushangaza sana