Kawe mpya, na Bishop. GwajimaKwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Well said kuhusu mabarabara na MAENDELEO wakawaulize ccm kawe...Kheri James na mjomba wake wamesema hadharani kuwa usipochagua CCM maendeleo hawaleti na la kuwafanya hatuna.
Mwaka huu tunawajibu kuwa Rais, Mbunge na Diwani watatoka upinzani na maendeleo yatakua kwa wote.
Kweli kabisa mkuu.Kawe mpya, na Bishop. Gwajima
huu ni uwongo uliotukukailaumu serikali ya CCM wala sio mbunge, kazi ya mbunge ni kupeleka hoja za uwepo wa matatizo jimboni na mtekelezaji ni serikali. Halima kalisemea sana jimbo la Kawe ila serikali haikutekeleza. Asilaumiwe Mdee
Ni ya kijinga au si ya kijinga mnaonyesha uzuzu na ufala ule Mkapa aliuita ulofa!
Mnalishabikia jike tasa la maendeleo utafikiri mnanyonyeshwa maziwa.
10 years enough is enough!
Halima out!
Gwajima in!
Huyo huyo, baniani mbaya kiatu chake dawa.
Hatuchgui personalities tunataka mru atakayeta barabara, kazi ambayo Halima Mdee Kashindwa.
Mkuu naona unabishana kama mtu uliyekula madawa ya kulevya.We si umesema wabunge ndio wanao jenga barabara? Sasa hao wameshindwaje kujenga barabara majimboni kwao tena ni hoi bin taabani kuliko huko Cow Way. F2 ni elimu kubwa sana mkuu. We unafikiri elimu ni madarasa mengi au vyeti vingi?
Elimu ni uwezo na kuna tofauti kubwa kati ya akili na elimu. Unaweza kuwa na elimu halafu ukawa huna akili. Ndiyo maana mtu anaweza kuwa na Phd (sija sema Phd fake ya maganda ya korosho) lakini ukimsikiliza anavyo ongea ma maamuzi yake utagundua wa darasa la saba yupo vizuri zaidi
WEWE NI MJINGA TU FULANI, NANI KAKWAMBIA SISI WANAKAWE MAENDELEO ATATULETEA GWAJIMA?PUMBAV.Mijinga ni ninyi mnaopenda kuishi kwenye vyoo vya passport size.
Tuliostaarabika tunataka maendeleo.
We unakaa mabondeni tu mto Mbezi, na ni wale wa sebule zinakaa na kuelekea vyoo passport size.WEWE NI MJINGA TU FULANI, NANI KAKWAMBIA SISI WANAKAWE MAENDELEO ATATULETEA GWAJIMA?PUMBAV.
NDO MAANA NIKAKWAMBIA WEWE NI MJINGA NA LOFA MKUBWA, NANI KAKUAMBIA SISI WATU WA MBEZI TUNAHITAJI KUSAIDIWA NA GWAJIMA KUWA NA BARABARA? ONDOA UJINGA WAKO HAPA PELEKA FACEBOOK MSUKULE MKUBWA!We unakaa mabondeni tu mto Mbezi, na ni wale wa sebule zinakaa na kuelekea vyoo passport size.
Na hapo ulipo si ajabu una harufu ya uharo wa jirani yako.
Unahitaji barabara za nini?
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Uko mabondeni wewe,na unanuka uharo.NDO MAANA NIKAKWAMBIA WEWE NI MJINGA NA LOFA MKUBWA, NANI KAKUAMBIA SISI WATU WA MBEZI TUNAHITAJI KUSAIDIWA NA GWAJIMA KUWA NA BARABARA? ONDOA UJINGA WAKO HAPA PELEKA FACEBOOK MSUKULE MKUBWA!
Chagua mtu atakayeleta maendeleo.Kwa tulioiva kidemokrasia tutachagua tunaye mtaka bila kujali hayo unayoyasema kwani tumesikia wananchi wakiambiwa wakichagua vyama vingine mbali na CCM wataadhibiwa kwa style hiyo. Kabla ya conclude, tuambie wabunge na madiwani wa maeneo hayo yenye lami mpaka uchochoroni ni wa vyama gani? Mwananchi ndio anayejiletea maendeleo kwani ndio mlipa kodi, sasa kama apelekewi matokeo ya kodi yake, basi ujue serikali iliyopo madarakani imekosa uhalali.
Mdee hata u pornstar hawezi!Yani tumchague pornstar? Mcheza x? Kawe unatuonaje wewe!? Kwanza Halina Ni jembe kwa kawe na nchi nzima. Magu anafanya hila hapeleki maendeleo sehemu walipochagua upinzani na kasema live, na sisi tunasema hatupangiwi! Yani tulipigie li pornstar kisa magu kasema? Ndo ataleta maendeleo ,huo ubaguzi na chuki. Ata afanyaje hatumchagui yeye wala huyo mzee.
Nyie Ndo Ile misukule takeMdee hata u pornstar hawezi!
Upo hapo!
Kwani uongo?Nyie Ndo Ile misukule take