Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
-
- #261
Amfifiro is worh trying.Amfifiro ameshindwa kuwajengea waumini wake kanisa zuri kwa miaka karibu 20 licha ya kukusanya sadaka wanasalia kwenye mabati hadi leo hii ndio ataweza kuleta maendeleo Kawe? charity starts at home
Huyo kashindwa kujenga kanisa ndio aweze kujenga barabara,wanaccm akili zenu kama nabii tito kazi kurusha trakoo tuKwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Una akili ya mtoto wa kuku, chicken.Huyo kashindwa kujenga kanisa ndio aweze kujenga barabara,wanaccm akili zenu kama nabii tito kazi kurusha trakoo tu
Na nyie misukule wa Mdee, sijui anawafugiga wapi?Nyie Ndo Ile misukule take
Tatizo ni yue anayewabagua watanzania, mwanza msibomoe nyumba zao hao walinipa kuraKwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Na nyie misukule wa Mdee, sijui anawafugiga wapi?
Hamnenepi wala hampati afya!
Katikasuasa ani si tapeli?..Gwajima aliahidi kumfufua Amina Chifupa.
..sasa wapigakura wanaambiwa wasichague tapeli.
Unafikiri jimbo la kawe linaweza kujiendesha?Dawa yao hawa wapuuzi ni mfumo unaopendekezwa na Chadema tu. Yaani hela za jimbo husika zifanye maendeleo kwenye jimbo husika. Ndo mana wanabwabwaja ujinga tu humu Eti mbunge atoke kwa sababu Kuna barabara mbovu wakati mbunge wala hajengi barabara na wanakusanya fedha za walipa kodi wanaenda kujenga viwanja vya kimataifa vijijini kwao Chato huko!
Huyo Mdee is a liability!Unafikiri jimbo la kawe linaweza kujiendesha?
Ama kweli taab kwelkwel
Fedha za mfuko wa jimbo zinageuka kuwa fedha za kushughulikia makesi yao huko kisutu wanasahau nini matumizi stahiki ya hizo fedha kutatua kero za majimbo yao,
Mdee atawachelewesha kupata maendeleo wana KAWE mkataeni, Jaribuni mtu mwingine, akishindwa nae makataeni😯😯😯
Katikasuasa ani si tapeli?
Unafikiri jimbo la kawe linaweza kujiendesha?
Ama kweli taab kwelkwel
Fedha za mfuko wa jimbo zinageuka kuwa fedha za kushughulikia makesi yao huko kisutu wanasahau nini matumizi stahiki ya hizo fedha kutatua kero za majimbo yao,
Mdee atawachelewesha kupata maendeleo wana KAWE mkataeni, Jaribuni mtu mwingine, akishindwa nae makataeni😯😯😯
Asante kwa kunikosoa na nimepata kuelewa..fedha za mfuko wa jimbo ni fedha za serikali. mbunge hawezi kuzitumia kwa mambo binafsi hata siku moja.
..matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo huamuliwa na kamati ya madiwani ambayo mbunge ni mwenyekiti.
..na mkurugenzi wa halmashauri ndiyo mdhibiti wa fedha hizo, kwa maana zinapokelewa na kutolewa na ofisi yake.
Ni kujidanganya kuwa ukichagua upinzani maendeleo yatakuja.
Kawe ni mfano dhahiri.
Halima yupo pale kama picha, hanyanyui mdomo kutetea maendeleo ya barabara kwa miaka 10 sasa.
Asante kwa kunikosoa na nimepata kuelewa
Kama zilifika kawe, nani alikuwa anakwamisha utekelezaji wa fedha hizo katka ujenzi wa KAWE? Kwa nn Temeke na kwingineko kuna ng'ara tu? Nisaidie mkuu
Ulichoandika kinapaswa kiandikwe na mtu ambaye hajaenda shule. Wewe Unafahamu majikumu ya Mbunge kweli?? Mbunge sio mfadhiri wa Jimbo, Mbunge sio Mkusanya Kodi ya Serikali.Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Kwa Unachokisema basi Shauri watu waipigie Kura wagombea wa CDM mana CCM ndio inaenda kuwa Chama Cha Upinzani, au wewe huoni viashiria hivyo??Ni kujidanganya kuwa ukichagua upinzani maendeleo yatakuja.