Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Jukwaa limeva,iwa na wale wa kutoka madongo kuinama na mbavu za mbwa.
Ustaarabu wa kujenga miundombinu kwenu si kitu.
Mnamshabikia aliyeshindwa kuleta maendeleo kwa miaka 10 kam hamna akili nzuri.
 
Swala sio kuropoka bungeni,tunataka vitendo,hatukumchagua ili aende kukoroma Kama spika mbovu huko bungeni..!
 
Mkuu usihangaike na hawa nyumbu.
Asante mkuu!
Kila mmoja atapata stahili yake, huku Kawe hakuna cha Halima wala maendeleo kwa miaka 10 sasa, hawa nyumbu wa kuliwa na mamba wanamshabikia utafikiri hawana akili za kuwatosha.
Heri wamwite wamuweke ndani huko kwao na wamtizame kama lipicha kila waamkapo saubuhi.
 
Gwajima na mamilioni yote anayokusanya kwa ghiriba na wizi kupitia dini na kuuza poda ameshindwa kujenga kabisa ataweza kujenga barabara mkuu?
Ameulizwa tu swali na muuza kahawa huwezi kujibu ataweza hata kusoma makabrasha bungeni yule?
Tukimchagua madrasa wanazosoma watoto wetu itakuwa Sunday schools hatutaki hatutaki
 
Tatizo lipo kwa mkurugenzi wa halimashauri ya Kinondoni siyo mbunge kwani halima mdee husemea kila kitu Bungeni bali CCM huwahujumu wabunge wa upinzani kwa makusudi ili kuwakomoa
 
Kutoa michango na hoja nzito kwa maslahi ya taifa ndo kuropoka??? Kweli CCM mmenyimwa akili!
Watetezi wa CCM mitandaoni wengi hushinda gheto kwa cyprian Musiba ndiyo maana utetezi wao hufanana kwa 100%
 
Kutoa michango na hoja nzito kwa maslahi ya taifa ndo kuropoka??? Kweli CCM mmenyimwa akili!
Ndo tunataka utuonyeshe hayo masilahi chanya ya taifa, yaliyosababishwa na hoja zake, maana huku kawe tunaona ni ovyo tu, afu wewe unakuja hapa na kutuambia masilahi ya taifa 😂😂? Hakuna mbunge pale.
 
Ndo tunataka utuonyeshe hayo masilahi chanya ya taifa, yaliyosababishwa na hoja zake, maana huku kawe tunaona ni ovyo tu, afu wewe unakuja hapa na kutuambia masilahi ya taifa 😂😂? Hakuna mbunge pale.
Utayaonaje wakati wewe unaona sawa kujenga uwanja wa ndege kijijini chato???? Kama huna akili huwezi ziona hoja za Halima Mdee!
 
Utayaonaje wakati wewe unaona sawa kujenga uwanja wa ndege kijijini chato???? Kama huna akili huwezi ziona hoja za Halima Mdee!
Acha braabraa, nataka unionyeshe hayo masilahi ya taifa, unayodai yamesabbishwa na hoja za mdee bungeni🖕.
 
Acha braabraa, nataka unionyeshe hayo masilahi ya taifa, unayodai yamesabbishwa na hoja za mdee bungeni🖕.
Unataka nikuwekee humu??? Si umepewa bundle bure na pole pole? , haya ingia youtube alafu search michango ya Halima Mdee bungeni utaona.
 
Unataka nikuwekee humu??? Si umepewa bundle bure na pole pole? , haya ingia youtube alafu search michango ya Halima Mdee bungeni utaona.
Bado unarudi palepale, unataka nikaone michango yake bungeni (kelele zake), wakati Mimi nimeomba unionyeshe matokeo chanya ya huo uchangiaji wake nje ya bunge(maendeleo).
 
Huyuhuyu Mla Kondoo!!!
 
Bado unarudi palepale, unataka nikaone michango yake bungeni (kelele zake), wakati Mimi nimeomba unionyeshe matokeo chanya ya huo uchangiaji wake nje ya bunge(maendeleo).
Nimekueleka ili ujifunze kutafuta vitu vya maana kwenye mitandao kwa bundle la bure unalopewa na hiyo Polepole!
 
Nimekueleka ili ujifunze kutafuta vitu vya maana kwenye mitandao kwa bundle la bure unalopewa na hiyo Polepole!
Huna hoja, maswali yangu yako nje ya uwezo wa ubongo wako.Sasa rasimi nimekupuuza.Subiri zile hoja mserereko za nyumbu wenzako,userereke nazo.
 
Umesahau mkulu wetu alisema nini kule kwa Bwege na kule Musoma..!? Hapeleki maendeleo kwa wapinzani...
 

Attachments

  • VID-20200920-WA0019.mp4
    14.7 MB
Umesahau mkulu wetu alisema nini kule kwa Bwege na kule Musoma..!? Hapeleki maendeleo kwa wapinzani...
Weweeh, hiyo usiifanye kuwa Chaka la kifichia upumbavu wa Halima yapo majimbo mengi tu yenye upinzani na maendeleo yanaonekana.
Haya na ile mitano mingine kabla Mkulu hajaingia Madarakani alifanya Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…