Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Hivi vitu vya chura havilipi bili kaka , namshukuru Mungu kwa yote , nitazeeka na kipenzi changu
 
Hii hapana hata iweje, kuna mtu ameandika humu, miaka 15 unakula wali samaki asubuhi mchana jioni!!!!
Ndio mapishi tofauti, ila samaki yule yule, leo wa bila mafuta, kesho wa nazi, siku.ingine wa.mafuta ya alizeti, siku ingine wa kuchoma, siku ingine.wa kuoka, siku.ingine wa.ndimu, limao day ingine.lost siku.ingine.wa mshikaki.. akili zenu tu wakurungwa.. raha ya bao ni swala la kiakili zaidi
 
Vikwazo na majaribu havina budi kuja mkuu
 

Kama sio sababu za kiimani basi Kunae kitu unamisi mkuu.. either hela au nguvu..

Vitu vitatu tuu vya kumzuia mwanaume kucheat
Imani
Nguvu
Hela hana
 

Hongera mkubwa
 
Hongera mkuu hapa nna miwili tu hali ishakua mbaya mda wowote nachepuka mbususu kama zote zinajileta tu😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…