Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Wewe unachotaka kusema ni nini?Vijana wanatakiwa wajue soko limeshakuwa transactional, wanaume wengi wanaumia kwa sababu wanajaribu kutafuta real love iliyojengwa kwenye mifumo ya zamani ya kijamii ndani ya soko ambalo limebadilika kuwa la kibiashara (transactional marketplace).
Huwezi kuingia kwenye duka la kisasa la bidhaa ambapo kila kitu kina price tag halafu utegemee kupata bidhaa ya bure kwa sababu tu wewe ni mwanaume mwema, kizazi kipya hili wamelielewa vizuri sana ndio maana wako straight.
Unakuta kijana anataka mwanamke wa traditional values lakini anamtafuta kwenye modern marketplace ambapo wanawake wamejifunza kujitegemea na kutazama value kwanza, hii ni paradox isiyowezekana.
Kutaka mapenzi ya kizamani kwa wanawake walio market oriented hii ndiyo inayozalisha wivu, uchungu, na malalamiko kila siku kuhusu wanawake.
Kama tunakubaliana kuwa kila kitu ni biashara, mbona unalalamika kuhusu consequences zake (kama vile single mothers)? Kwenye biashara huwa hatulalamiki kuhusu market risks, tunazi manage tu.Mabadiliko yapo kila mmoja anayajua. Ambacho nyie advacates wa modern women hamtaki kikielewa ni kwamba hayo mabadiliko pia yatagusa zile traditional roles za kila jinsia.
Mfano tukisema jamii ya zamani original deal ya ndoa ilikua ni a loyal and virgin woman in exchange of lifetime provision and protection from a man. Tukienda kwenye usasa na kukubaliana loyalty na virginity sio tena vigezo vya kuzingatiwa upande wa mwanaume basi lazima pia tuondoe na vile vigezo vya provision and protection akivyokua anabebeshwa mwanaume.
In relationship each side has terms. Kwahiyo tukitaka kuondoa terms za upande mmoja lazima tuziondoe na za uoande wa pili pia. Hstuwezi kumtaka mwanaume andelee kutoa traditional sacrifice halafu tumuondolee traditional benefits zote zinazotakiwa kuja na hizo sacrifices.
Kama tunakubaliana tunaingia kwenye zama ambazo sex ni exporation basi kusiwe na lawama kwa upande wowote wakati consequences za asexual freedom zitakapojitokeza. Wanawake waelewe matokeo ya promiscuous ni mimba isiyotarajiwa kwahiyo watakapojikuta single mother wasirushe lawama maana hayo matokeo ya wao wenyewe kuutumia uhuru wao wa ngono
Ukisoma hoja zangu kwa kukurupuka ni wazi hautonielewa abadani.Wewe unachotaka kusema ni nini?
Unasapoti ukahaba?
Unasapoti watoto wa vyuo kugeuza miili yao chanzo cha pesa?
Unafurahia haya matendo?
Au unawatetea wanawake?
Ulichokiongea hapo juu ni kitu kimoja, ila NATURE NI KITU KINGINE BRO
HUWEZI FOSI ULE UDONGO BADALA YA CHAKULA,
SO MTOA MADA KUNA KITU ANAKIGUSIA HUJAMUELEWA
Bado haujaelewa, soma upya na uje na hoja kwanini umesema hivyo.Hiki unachofanya wewe ni kuitafsiri vibaya fallacy ya appeal to involvement
Katika hoja yangu mimi standard na exception ni vitu tofauti. Nimesema ninapofanya vetting ya mke standard yangu ni bikira kwa sababu zangu kama purity, innocence, ensured womb, no past relationships traumaz, no camparisons with her exes n.kSasa kwani unaoa vichanga? Kipimo ni wakati wa vetting yako sio alivyokuwa kabla ya vetting yako. Bikira sio common kwa wanawake wenye 20+, sababu za kutokuwa nayo ni suala jingine ila hazipo nyingi. Huwezi sema bikira ni common wakati wa kutafuta mke, that's a lie.
Acha kuzunguka bana kuhusu hili suala la standard, exception. Lipo wazi.
Au nimesema uongo😂😂😂😂😂
Mkuu, kurole out wasiojiuza haimaanishi wanaojiuza wanatetewa.Mmmh huwa nashangaa mwanaume anapotetea mwanamke kihivo na wakati ukweli uko pale pale
WANAWAKE WENGI JAPO SIO WOTE WANAUZA NA TUNAONA HATA MIDA HII HAPO NJE TU KUNA HAO MABINTI WANAUZA
Ndo tunarudi pale pale. Kwenye kapu la wanawake ambao unakiri wote ni sawa linapokuja suala la uwezekano wa kukusaliti, aliye na bikra, kwako wewe ni exception. Hapo unakataa tena?Katika hoja yangu mimi standard na exception ni vitu tofauti. Nimesema ninapofanya vetting ya mke standard yangu ni bikira kwa sababu zangu kama purity, innocence, ensured womb, no past relationships traumaz, no camparisons with her exes n.k
Lakini sio kila ambae hana bikira ni villain, kuna wachache sana ni kama victims tu mfano mjane, ambae bikira ilitoka kwa mazoezi au kazi ngumu. Hao ndio wanaingia kwenye kundi la exception(kwa mujibu wa sababu zangu mimi). Sasa hiyo exceptionality kwangu mimi haina nguvu ya kubadili mtazamo. Kama sio bikira napiga ban no matter the reason
Kabisa, kwa lugha nyepesi unapigwa na kitu kizito chenye ncha kwenye utosi. Na ndo maana mada za laani ni nyingi sana JF siku hizi. Wanawake wanalaaniwa kweli na baadhi ya vijana, Hahaha.Vijana wanatakiwa wajue soko limeshakuwa transactional, wanaume wengi wanaumia kwa sababu wanajaribu kutafuta real love iliyojengwa kwenye mifumo ya zamani ya kijamii ndani ya soko ambalo limebadilika kuwa la kibiashara (transactional marketplace).
Huwezi kuingia kwenye duka la kisasa la bidhaa ambapo kila kitu kina price tag halafu utegemee kupata bidhaa ya bure kwa sababu tu wewe ni mwanaume mwema, kizazi kipya hili wamelielewa vizuri sana ndio maana wako straight.
Unakuta kijana anataka mwanamke wa traditional values lakini anamtafuta kwenye modern marketplace ambapo wanawake wamejifunza kujitegemea na kutazama value kwanza, hii ni paradox isiyowezekana.
Kutaka mapenzi ya kizamani kwa wanawake walio market oriented hii ndiyo inayozalisha wivu, uchungu, na malalamiko kila siku kuhusu wanawake.
Entitlement. Wamefundishwa kuhusu benefits wanazostahili kuzipata kutoka kwa mwanaume lakini hawajaambiwa ambayo wanatakiwa kufanya ili wapate hizo benefits. They don't know man's requirements also matter. Ndipo hapo unakuta mwanamke hajashiriki katika kutafuta hela yako but out of nothing anajiona ana haki ya kupata gawio.Kwann mwanamke usipompa Hela yeye anaamini kwamba wewe huna Hela??Kwan kipimo Cha kuwa na Hela ni kuigawa Kwan mwanamke??
Kanuni ndogo sana zinawapiga chenga vijana.Kabisa, kwa lugha nyepesi unapigwa na kitu kizito chenye ncha kwenye utosi. Na ndo maana mada za laani ni nyingi sana JF siku hizi. Wanawake wanalaaniwa kweli na baadhi ya vijana, Hahaha.
Unanishangaza na ukweli nachagua kukuacha kama ulivyo🙏Sio wote ni malaya, ila most of you women hasa vyuoni ni changamoto sana
Lazima utetee jinsia yako as long as you are a woman
Ndo maana HATA MALAYA UKIMWITA MALAYA ANACHUKIA ILA KAZI YAKE NI HIYO
SO SIO MBAYA BWANA, USITETEE UJINGA SIKU NYINGINE
Unless nimemwelewa vibaya but hoja yake inahusu uhalisia wa kinachoendelea. Sijaona kama amesema anausapoti huo uhalisia au anaupinga.Wewe unachotaka kusema ni nini?
Unasapoti ukahaba?
Unasapoti watoto wa vyuo kugeuza miili yao chanzo cha pesa?
Unafurahia haya matendo?
Au unawatetea wanawake?
Ulichokiongea hapo juu ni kitu kimoja, ila NATURE NI KITU KINGINE BRO
HUWEZI FOSI ULE UDONGO BADALA YA CHAKULA,
SO MTOA MADA KUNA KITU ANAKIGUSIA HUJAMUELEWA
Nimemwambia arudie kusoma tena kwa ufahamu, ili aelewe hoja yangu imelenga nini hasa.Unless nimemwelewa vibaya but hoja yake inahusu uhalisia wa kinachoendelea. Sijaona kama amesema anausapoti huo uhalisia au anaupinga.
Unalazimisha sana kuleta narratives zako wakati hoja imejitosheleza. Iko la mimi kusema wanawake wote ni sawa linapokuja suala la kuvheat hata sijui umetoka nalo wapi. Sikumbuki popote ambacho nimeandika hicho kitu kwenye hii thread. Huko juu kuna sehemu nimekuambia kwamba mustakabali wa mahusiano ni fumbo lakini hiyo sio sababu ya mimi kufanya gamble kwa meanamke ambae tayari nishaona red flag.Ndo tunarudi pale pale. Kwenye kapu la wanawake ambao unakiri wote ni sawa linapokuja suala la uwezekano wa kukusaliti, aliye na bikra, kwako wewe ni exception. Hapo unakataa tena?
Hii ni selection bias, uhalisia wa mtaani kwako siyo uhalisia wa jamii nzima Mkuu.Mmmh huwa nashangaa mwanaume anapotetea mwanamke kihivo na wakati ukweli uko pale pale
WANAWAKE WENGI JAPO SIO WOTE WANAUZA NA TUNAONA HATA MIDA HII HAPO NJE TU KUNA HAO MABINTI WANAUZA
Hilo suala mnalofikiri wanawake ni wajanja ukija huku field mabinti wadogo wanaalibiwa sana. Halafu ukicheki vizuri inakuta wanaojaribu kukemea ni wanaume wema lakini nyie mnawaona loosers, bila kujua indirectly mnawapa badboys go ahead ya kuendeleza uharibifu waoKabisa, kwa lugha nyepesi unapigwa na kitu kizito chenye ncha kwenye utosi. Na ndo maana mada za laani ni nyingi sana JF siku hizi. Wanawake wanalaaniwa kweli na baadhi ya vijana, Hahaha.
Feminist huyo hawezi kukuelewaWewe unachotaka kusema ni nini?
Unasapoti ukahaba?
Unasapoti watoto wa vyuo kugeuza miili yao chanzo cha pesa?
Unafurahia haya matendo?
Au unawatetea wanawake?
Ulichokiongea hapo juu ni kitu kimoja, ila NATURE NI KITU KINGINE BRO
HUWEZI FOSI ULE UDONGO BADALA YA CHAKULA,
SO MTOA MADA KUNA KITU ANAKIGUSIA HUJAMUELEWA
Hapa sasa umeongea as if hao mabinti hawana utashi binafsi.Hilo suala mnalofikiri wanawake ni wajanja ukija huku field mabinti wadogo wanaalibiwa sana. Halafu ukicheki vizuri inakuta wanaojaribu kukemea ni wanaume wema lakini nyie mnawaona loosers, bila kujua indirectly mnawapa badboys go ahead ya kuendeleza uharibifu wao