Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Ni kweli mbona vijana wa kiume hatuoni wakiwa wanauza ngono eti kisa kodi ada au kujiendesha kimaisha huko vyuoni?
 
Mhadhiri mwenye mindset kama hii kwamba wanaowake wote ni malaya

Mhadhiri ambaye huwezi hata kusoma nilichoandika na ukaelewa 😅

Unakurupuka kujibu kama unakimbizwa 🙌🙌🙌🙌
 
Huyo kila siku akili yake iko hivyo hivyo tu!!! Mpaka kuna wakati nikajiuliza labda Mama yake, Shangazi zake, Dada zake ni malaya kwa hiyo anadhani wanawake wote wako hivyo!!!!!
Hivi kwanini mnataka mimi niandike kwa flow mnayoitaka nyie. Mbona jf ni jukwaa huru. Wewe unaweza pia ukaandika kwa mtililiko unaoutaka au ukani-ignore usiwe unaona chochote ninachoandika
 
Hahaha, sasa wewe umekataa kuweka kichwa kwenye mchanga kama mbuni umeamua kuukubali ukweli.

Tofauti na hoja nyingine humu unajiuliza hivi mtoa hoja anaishi hii hii dunia ya sasa hivi ya GenZ au ana dunia yake kaiumba tuhamie huko?

Sometimes umri unakuwa umeenda kwa hiyo anaona mambo mengi kama mageni au yanashtusha. Mimi binafsi pia the first time kuna mambo uswahilini niliona ya ajabu ila kwa sasa naona kawaida.
 
Sometimes umri unakuwa umeenda kwa hiyo anaona mambo mengi kama mageni au yanashtusha. Mimi binafsi pia the first time kuna mambo uswahilini niliona ya ajabu ila kwa sasa naona kawaida.
True, yanakuwa new normal hata kama ni ya ajabu.
 
Mhadhiri mwenye mindset kama hii kwamba wanaowake wote ni malaya

Mhadhiri ambaye huwezi hata kusoma nilichoandika na ukaelewa 😅

Unakurupuka kujibu kama unakimbizwa 🙌🙌🙌🙌
Dhana ya ujumuishi inatokana na kwamba hivyo vitendo vinafanywa na wengi zaidi. Embu nikuulize swali,tukisema Tanzania ni nchi masikini maana yake raia wake wote ni masikini?
 
Umezungumza ukweli mchungu
 
Dhana ya ujumuishi inatokana na kwamba hivyo vitendo vinafanywa na wengi zaidi. Embu nikuulize swali,tukisema Tanzania ni nchi masikini maana yake raia wake wote ni masikini?
Kaka hilo neno malaya limekaa vibaya linafedhehesha mara mia umuite mtu maskini

Ni kama wewe usikie et wanaume wote ni mashoga ilhali sio kweli
 
Wataoana makahaba na mashoga maana mmejisahau hata nyie mnafukunyuliwa nyuma
 
Dhana ya ujumuishi inatokana na kwamba hivyo vitendo vinafanywa na wengi zaidi. Embu nikuulize swali,tukisema Tanzania ni nchi masikini maana yake raia wake wote ni masikini?
Hii ni fallacy of composition -kudhani kwamba sehemu ya kitu inawakilisha kitu kizima.

Unapozungumzia umalaya kama tabia ya kundi zima la watu, hapo unazungumzia maadili na kawaida maadili hayawezi kupimwa kwa wastani kama uchumi.

Unaposema wanawake wengi wanafanya hivi, unakuwa unatumia anecdotal evidence (uzoefu binafsi) kuhukumu mamilioni ya watu usiojua maisha yao.
 
Usipende kuzingatia sana exceptionality kwenye kufanya maamuzi. Huo ndio mwanzo wa kuruhusu hisia zitumike badala ya evidence au logic. Kama aingii kwnye vigezo vyako piga chini. Achana na mambo ya exception.

Maana kama yeye angekua kwenye nafasi ya kufanya maamuzi angekuhukumu bila kuzingatia exception. Mfano wewe unapitia nyakati ngumu na demu wako akatongozwa na mwanaume mwenye hela. Unafikiri atafikiria mambo ya exception kwamba kuna wanaume wanapitia nyakati ngumu lakini baadae wanafanikiwa.

When you have power to make decision be ruthless and selfish. Power is not meant to be polite
 
Watu wengi wakiongelea tabia ya mabinti kujiuza au kutumia mapenzi kama chanzo cha kipato wanaangalia matokeo zaidi badala ya kuangalia vyanzo halisi vya jambo lenyewe ambapo ni umasikini wa wazazi na walio tayari kununua huduma yenyewe.
hili kukomesha tabia ya umalaya waache kuwanunua hao malaya bidhaa ikikosa soko hupotea sokon na hali ngumu ya maisha wazazi wawaandae watoto wao kukabiliana na hali hiyo tangu wakiwa wadog sio kutafta njia rahis ya kuuza mwil
 
Hata sasa hivi masimpi kibao wameoa MALAYA kutoka chuo
Kweli mkuu tena Vijana wengi wenye uchumi mzuri wa kati wengi wao wameoa Malaya bila kujua, Vijana kama tunataka kuoa inabidi tuwe makini ni bora tuoe Binti wenye Elimu ya Chini ya kidato cha 6, kuliko kuoa Wanawake wenye Elimu ya Chuo. Wanawake wengi wenye Elimu ya chuo wanakua wametumika sana wakiwa Vyuoni mpaka kwenye Ajira. Na wengi wao wanatega wanaume mwenye Uchumi mzuri na hawana muda wa kuchunguza Mwanaume kama ameoa, cha muhimu wao wapangiwe nyumba nzima tu.
 
Wewe ndio umeleta hoja kwamba wanaume ndio source ya tatizo kwamba wanafadhiri hiyo trend ya wanawake gold diggers. Ndio maana nikasema kwa uoande wa wanaume tayari washaona tatizo ndio maana unaona mijadala mijadala mingi ya kuwachana simps na gold diggers inaanzishwa na wanaume. Na hata mimi zipo thread na comments zangu nyingi tu huwa nawachana live masimp. Tukiangazia upande wa wanawake je wao washaona na kukubali suala la wao kuongwa na hao rich simps ni tatizo ambalo wanatakiwa kulikemea na kuachana nalo? Hata tukisema tukubaliane kuacha kuonga ni wazi hatuwezi kuwa uniform. Watakaovunja makubaliano watakuwepo tu. Je wanawake wapo tayari kuwakatalia hiyo tabia yao ya uhongaji? Unaona sasa tatizo lipo wapi?
 
Rich simp, Hahaha, inaonekana ukikutana na wale wazee wanalipia Mabinti kwenda Dubai akifika anamshika shika halafu anarudi anamuacha binti huko aendelee kuinjoy utapatwa na hasira sana.
Hapana mkuu, siwezi kukasilishwa na mtu ambae hajanikosea chochote
 
Majibu ya haya maswali mawili yatatoa picha kama upo sahihi au ideology, fikra na mawazo ni Misogynist.

1. Unaamini kabisa power uliyonayo haiwezi bend regardless linapokuja suala la ndoa na mahusiano?

2. Mwanamke wako unaamini hawezi mkataa mwanaume mwenye pesa kukuzidi akabaki na wewe?
 
Moja ya advabtage tuliyonayo wanaume ni kwamba uhalisia wa dunia hautudanganyi.

Tofauti na wanawake wao kuanzia wanazaliwa na makuzi yao yote kila hatua wanadanganywa tu. Wazazi watamwambia binti ndie mrembo zaidi, wanaomtongoza watamsifia n.k inaweza kusaidia kumpa mtoto wa kike confidence lakini in the long run inaweza kumsababishia aishi kwenye ulimwengu wa fantasy kwa kufikiri dunia inamzunguka yeye
 
Hakuna nilipoandika malaya kwenye thread. Kwenye title nimeandika makahaba. Nafikiri unajua kuna tofauti. Malaya yeye anavua tu uchi tofauti na kahaba yeye anafanya hivyo ili directly ai indirectly apate masilahi fulani kutoka kwa mwanaume.

Dhana ya kusema kwamba wanawake wote wanajiuza wametofautiana mbinu tu(kuna wanaouza direct na wanaouza idirect) imeibuka kutokana na mtindo mpya wa wanauwake wenyewe kufanya relationship monetization.

Huko juu nimekupa assignment ndogo sana. Andika thread hapa kupinga suala la mwanaume kuwa sponsor wa mahusiano badala yake mwanaume na mwanamke wapeane mapenzi tu lakini suala la hela kila mmoja afanye kazi na abaki na hela zake. Uone hao hao wanawake unaowatetea hawajiuzi jinsi watakavyokushambulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…