Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Tikisa kichwa chako pengine huna ubongo. Suala la lumbesa linatoka wapi hapa? Tunaongelea bei kupanda ambapo haimuachi yeyote aliyepo kwenye mnyororo wa thamani.Boya kabisa, wakulima gani wanapata pesa.......pesa mnapata nyinyi matapeli mnaojiita wafanyabiashara baada ya kuwaibia wakulima kupitia lumbesa, kangomba na kubana mizani, shwaini!
Lumbesa IPO wakati wote whether bei ziko chini au ziko juu