Tikisa kichwa chako pengine huna ubongo. Suala la lumbesa linatoka wapi hapa? Tunaongelea bei kupanda ambapo haimuachi yeyote aliyepo kwenye mnyororo wa thamani.Boya kabisa, wakulima gani wanapata pesa.......pesa mnapata nyinyi matapeli mnaojiita wafanyabiashara baada ya kuwaibia wakulima kupitia lumbesa, kangomba na kubana mizani, shwaini!
Mithali 26:4 Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usijekuwa sawa na yeyeWewe mburula unajulikana kwa pointless
Jibu swali, acha talalila.....Wakulima ni watu kama wewe hawajatenda kosa lolote mpaka wapewe mzigo wa kukulimia zao upate kwa bei chee bei unazozitaka weee ilhali hujasaidia chochote kwenye kulima kwao
Ulishaona nchi ambayo kila mtu ni mkulima, au na wewe ni mlanguzi wa mazao mnaoibia wakulima kwa kubana mizani, lumbesa na kangomba.Anza kulima hutalalamikia bei.
Nenda shambani ukalime na wewe ili ujuwe uchungu wake, ulitaka ufuahi kuona wakulima wakiuza kwa hasara kila mwaka ili uanze kusema uongo wako hapa, Sasa umeona mh Rais wetu kahakikisha soko la uhakika linapatikana unaanza Tena mdomo mdomo hapa, Nenda kalime na wewe Kama unatakaaaHuyu dereva nchi imemshinda kabisa.watu wameanza kula mara moja tu kwa siku kutokana na vitu kupanda bei kiholela.Hadi tufike 2025 tutakuwa kila mwananchi amejikondea na kuonesha mbavu zake zote mwili mzima
Kama ni rahisi kalime wewe uwe unatuuzia kilo 5 kwa miasaba, mama usifunge mipaka na sie wakulima tuendelee kulamba asali.Jana nimenunua sembe kilo 5 shilingi 8,500/= na kuna watu wanashabikia mahindi yaendelee kupelekwa nje.
Tikisa kichwa chako pengine huna ubongo. Suala la lumbesa linatoka wapi hapa? Tunaongelea bei kupanda ambapo haimuachi yeyote aliyepo kwenye mnyororo wa thamani.
Lumbesa IPO wakati wote whether bei ziko chini au ziko juu
Kutopeleka nafaka nje siyo suluhisho! Suluhisho ni kuboresha sector ya kilimo ili tuzalishe vingi. Mfano unakuta watu wa kanda ya ziwa tunalia ukame!Jana nimenunua sembe kilo 5 shilingi 8,500/= na kuna watu wanashabikia mahindi yaendelee kupelekwa nje.
Nyinyi ndo mnaibia wakulima kwa kuwalalia bei, kubana mizani, kutumia lumbesa na kangomba halafu mnakuja kulialia humu, hakuna mkulima mwenye mazao kwa sasa serikali ifunge mipaka.Kama ni rahisi kalime wewe uwe unatuuzia kilo 5 kwa miasaba, mama usifunge mipaka na sie wakulima tuendelee kulamba asali.
Kuna mkulima anayeenda kuuza mazao huko nje,
Bei ya shambani bado iko chini Ila inapandishwa na wafanyabiashara
Nyinyi ndo mnaibia wakulima kwa kuwalalia bei, kubana mizani, kutumia lumbesa na kangomba halafu mnakuja kulialia humu, hakuna mkulima mwenye mazao kwa sasa serikali ifunge mipaka.
Ndo hivyo anaye ona anaumia akalimeeMpumbavu mkubwa wewe, wakulima wetu ndiyo wakati wao wa kupata fedha na kuboresha maisha yao. Wewe badala ya kwenda kulima mahindi unakuja kuandika pumba JF.
Nenda na wewe ukalime halafu uone uchungu wa kuambiwa usiuze mahindi nje ya nchi.
Mkuu msimu ujao kodi mashamba mengi ulime uwe unatuuzia kilo moja kwa shingi mia mbili tutakushukuru sana kwa msaada huo.Wameuza sana nje mazao wakati ndani chakula hakitoshi eti wapate kupendwa na wafanyabiashara..
Kula Izo karanga mwenyewe ..Kilo moja ya karanga 4000 na Mimi napandisha 4500 ...Kama hutaki Basi lishe ya mwanao mkaangie mihogo