Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Mahindi zamani yalishuka bei huko Ruvuma, Sumbawanga, Katavi mpaka Gunia la debe 7 lilikuwa 18000-30000 na hapo hakuna mnunuzi.Ni magufulo huyo huyo enzi ya utawala wake watu walipolia bei ya nafaka ipo juu alijibu na kuwaaambia watu basi kama mnaona nafaka ipo juu limeni ya kwenu muuze kwa bei ya chini. Kilimo kinatesa asikwambie mtu. Tunapambana kulima sisi wakulima nina stock ya gunia kama mia moja mahindi afu 50 za mpunga acha tuwale vichwa nyinyi wavivu wa kulima maana kuna kipindi bei inashuka tunauza mahindi hadi elfu 36 gunia.
Ila mwaka huu mvua chache sana na mbolea bei juu. Wengine hata hawajavuna kabisa na wamepata hasara.