PostGE2025 Miezi 6 ni mingi sana kwa Samia kuendelea kuongoza kama hali haitabadilika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
MIMI SAMIA SIKUWA NAMKUBALI SANA LAKINI KITENDO CHA KUWAZUIA WAHUNI WALIOTAKA KUVURUGA AMANI TAREHE29/10/2025 IMENIBIDI NIMKUBALI SANA RAIS SAMIA.BORA UDAI HAKI KWA AMANI NA SIYO KWA KUCHOMA NCHI.WAHUNI WALIOJIITA GENZ WALIPEWA DOZI YAO HADI UHUNI WAO UKAISHA KABISA.
 
Wewe nani hakujui kua ni chawa?
 
Kwahiyo umemkubali baada ya kuua, ila watu mna vihoja.
 
Sidhani unaelewa ulichoandika mkuu.
Kama unawasema wapinzani, ndiyo madalali wa rasilimali za Tanganyika, basi ubongo wako una tatizo la Mirembe kabisa.

Niambie mkataba hata mmoja wa rasilimali za Tanganyika uliowahi kusainiwa na mpinzani zaidi ya Hawa walioko madarakani toka CCM.

Wapinzani wanapiga kelele wakiwa nje ya utawala, zisizoathiri uporaji wenu.

Na mmewaapia hawatashika madaraka hata kama watashinda.
 
Miezi sita mbali kote huko,hivi kila akifumba macho anawaona Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na Polepole wanamjia famchezo wewe !!
 
Huyu bi chura Gen Z Watamalizana nae km alivyosemaga
"ukinizingua tutazinguana"

Mimi ntaunga tela tu wakiliazisha!
 
Hivi kumbe bado uko hai? EEeeeenHEEEeeeeee!

Na bado unaendelea na 'hallucinations' za aina hiii?

Marekani ipi iwe upande wa wadini mnaotafuta kuangamiza taifa hili kama Sudan au Mali/Nigeria?

Huyo Balozi unayemsema hapo kampelekea Samia taarifa wazi kuwa mkiendelea katika njia hizo, Tanzania nayo itawekwa kwenye nchi ambazo zimewekewa vikwazo wananchi wake kutoingia Marekani; kwa sababu ya udini wenu!

Sasa unakuja hapa na kuchonga uongo kama huna akili kichwani?
 
Wanataka madini hao, tuna madini aina tatu yenye bei kubwa na wao wanayataka. Yamefanyika maongezi ya kina sisi tukisema lazima tupate biashara nzuri.

Mnapambana kuiangusha Tanzania lakini mtashindwa tu. Huwa tunaiombea kwa nguvu makanisani.
 
Hana UWEZO tena wa kupiga PICHA kama HIZI, akiwa URAIANI au JESHINI.
 
Wanataka madini hao, tuna madini aina tatu yenye bei kubwa na wao wanayataka. Yamefanyika maongezi ya kina sisi tukisema lazima tupate biashara nzuri.

Mnapambana kuiangusha Tanzania lakini mtashindwa tu. Huwa tunaiombea kwa nguvu makanisani.
Sasa wakitaka madini ndio wamwangukie mtu mwovu kama Samia?
Unadhani hawana akili?

Hiviu visababu vya kijingajinga kawaeleze wasiojuwa chochote. kwenye maswala kama haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…