Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Lissu alijiapiza akisema kitanuka na uchaguzi hautafanyika. Na kweli kikanuka vibaya sana siku ya uchaguzi.Sidhani unaelewa ulichoandika mkuu.
Kama unawasema wapinzani, ndiyo madalali wa rasilimali za Tanganyika, basi ubongo wako una tatizo la Mirembe kabisa.
Niambie mkataba hata mmoja wa rasilimali za Tanganyika uliowahi kusainiwa na mpinzani zaidi ya Hawa walioko madarakani toka CCM.
Wapinzani wanapiga kelele wakiwa nje ya utawala, zisizoathiri uporaji wenu.
Na mmewaapia hawatashika madaraka hata kama watashinda.
Wanaotekwa ukifuatilia kwa undani wanakuwa na mengi mabaya ambayo usalama hauwezi kuweka wazi.Hakuna cha kuipigania Tanzania hapa, mnapigania matumbo yenu tu. Rasilimali za nchi mnauza tu kiholela af unakuja kuandika uharo hapa. We uliona nchi inayojiita ya kidemokrasia serikali inateka na kuua wananchi?
Njoo na tusi jingine hilo sio jipya.Mbona mpumbavu sana?
Sisi sio watoto kwahiyo na Sweden wanataka kuiangusha serikali kwa ajili ya madini.Wanataka madini hao, tuna madini aina tatu yenye bei kubwa na wao wanayataka. Yamefanyika maongezi ya kina sisi tukisema lazima tupate biashara nzuri.
Mnapambana kuiangusha Tanzania lakini mtashindwa tu. Huwa tunaiombea kwa nguvu makanisani.
Ukiwa na mabaya solution yake ni kumteka ndio style ya mama kuendesha serikali.Wanaotekwa ukifuatilia kwa undani wanakuwa na mengi mabaya ambayo usalama hauwezi kuweka wazi.
Mtu juha asiyejuwa lolote analoandika ni rahisi sana kumtambua.Wanataka madini hao, tuna madini aina tatu yenye bei kubwa na wao wanayataka. Yamefanyika maongezi ya kina sisi tukisema lazima tupate biashara nzuri.
Wakala wa Wazungu, Lissu kampa Mzungu gani mkataba wa MGODI??Lissu alijiapiza akisema kitanuka na uchaguzi hautafanyika. Na kweli kikanuka vibaya sana siku ya uchaguzi.
Tupo kwenye mstari ulionyooka, hao mawakala wa wazungu tutashughulika nao mmoja baada ya mwingine.
Lini alikuja kuonana na Rais unayemtaja hapoHaya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Basi una mavi kichwani wewe, mdude alikua ana baya lipi ambalo usalama wasingeweza kuweka wazi? Soka, kipanya, polepole, kibao,Wanaotekwa ukifuatilia kwa undani wanakuwa na mengi mabaya ambayo usalama hauwezi kuweka wazi.
Nchi imeparanganyika..??Ungejua hata dola yenyewe imemkataa kilichobaki ni kigenge kidogo tu ambacho kimejimilikisha funguo za Nachingwea.
Haya mambo ya kulaumu beberu au wasiohusika kwa kila kitu ni kama mental illness.wizi wa uchaguzi,utekaji na mauaji afanye Samia na genge lake la wahuni mmekataa kwa kujitoa ufahamu, na mlianza na TEC na wakatoliki,sasa mmehamia beberu na raslimali, na nimesikia sasa mmeanza kuuana ndani ya CCM, hata nyie machawa mtafikiwa tuuHaya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Ukiona fitina ya kutokea nje inazidi kuongezeka tambua kuwa tunazidi kukua kiuchumi.Haya mambo ya kulaumu beberu au wasiohusika kwa kila kitu ni kama mental illness.wizi wa uchaguzi,utekaji na mauaji afanye Samia na genge lake la wahuni mmekataa kwa kujitoa ufahamu, na mlianza na TEC na wakatoliki,sasa mmehamia beberu na raslimali, na nimesikia sasa mmeanza kuuana ndani ya CCM, hata nyie machawa mtafikiwa tuu
Ni yapi Kitima aliyaongea ambayo sio kweli?Ukiona fitina ya kutokea nje inazidi kuongezeka tambua kuwa tunazidi kukua kiuchumi.
TEC na wao hawakwepi lawama, walianzisha fitina kwa mradi wa DP World wakashindwa. Father Kitima ndugu yake Lissu akaendelea kuikwaza serikali akiongea mengi ambayo yanaonyesha kwamba yeye na Lissu ni kitu kimoja.
Kuna mahali fulani tumefika kiuchumi hivyo fitina za kutokea nje na ndani lazima ziongezeke.
Sasa wakitaka madini ndio wamwangukie mtu mwovu kama Samia?
Unadhani hawana akili?
Hiviu visababu vya kijingajinga kawaeleze wasiojuwa chochote. kwenye maswala kama haya.
Uchumi upi unaosema umekua.Ukiona fitina ya kutokea nje inazidi kuongezeka tambua kuwa tunazidi kukua kiuchumi.
TEC na wao hawakwepi lawama, walianzisha fitina kwa mradi wa DP World wakashindwa. Father Kitima ndugu yake Lissu akaendelea kuikwaza serikali akiongea mengi ambayo yanaonyesha kwamba yeye na Lissu ni kitu kimoja.
Kuna mahali fulani tumefika kiuchumi hivyo fitina za kutokea nje na ndani lazima ziongezeke.
Eti tumekua kiuchumi wanatuletea fitina,wakati hata maji ya kuoga hamna😂Ukiona fitina ya kutokea nje inazidi kuongezeka tambua kuwa tunazidi kukua kiuchumi.
TEC na wao hawakwepi lawama, walianzisha fitina kwa mradi wa DP World wakashindwa. Father Kitima ndugu yake Lissu akaendelea kuikwaza serikali akiongea mengi ambayo yanaonyesha kwamba yeye na Lissu ni kitu kimoja.
Kuna mahali fulani tumefika kiuchumi hivyo fitina za kutokea nje na ndani lazima ziongezeke.
Chizi kapewa rungu kimbiaNihatari kumpa madaraka na silaha chizi
Tutelewana tu ccm hoyee, people's power