PostGE2025 Miezi 6 ni mingi sana kwa Samia kuendelea kuongoza kama hali haitabadilika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unapoongea na watu wenye akili tumia akili!
 
Zoeeni hiyo sauti hadi 2030!!
 
What a bitch, uchumi gani ka nchi ata GPD ya $100b hakana eti uchumi🤣
 
Basi una mavi kichwani wewe, mdude alikua ana baya lipi ambalo usalama wasingeweza kuweka wazi? Soka, kipanya, polepole, kibao,
Ukimtukana Rais wa nchi unatafuta matatizo, duniani kote. Amiri Jeshi Mkuu ndio kiongozi wa wanajeshi wote wa Tanzania, yoyote kati yao anaweza kukumaliza.

Pia agizo la mkuu wa nchi ni amri lazima litekelezwe. George Bush kabla hajaondoka aliacha amemuweka RIP Ghadhaffi katika kundi la maadui watano wa USA. Barack Obama alipoingia madarakani akatimiza agizo alilolikuta limeachwa na mtangulizi wake Bush.
Uchumi upi unaosema umekua.
Uchumi mpana tunaoufahamu wote. Hakuna Rais atakayekuletea pesa nyumbani kwako.
 
Ni kweli kabisa mkuu. Hao wazungu ndio wamesababisha mpaka shida ya maji yapata mwezi sasa maeneo mengi ya nchi hayana huduma ya maji safi kwa sababu ya wazungu.
 
Nimeona nikujibu kwa hii thread labda taelewa nguvu ya rais iko kwenye uchumi sio maneno ya taarabu.

Thread 'Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi' Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi
 
Eti tutaipigania Tanzania!? Pumbavu! Unaipigania Tanzania au kuwapigania watekaji na wauaji!? Unahitaji kupimwa Akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…