PostGE2025 Miezi 6 ni mingi sana kwa Samia kuendelea kuongoza kama hali haitabadilika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Eti tutaipigania Tanzania!? Pumbavu! Unaipigania Tanzania au kuwapigania watekaji na wauaji!? Unahitaji kupimwa Akili.
Hao Wanaosimamia maandamano wakiwa Kenya wakiwa wamelipwa pesa za Ford Foundation hawahitaji kupimwa akili?.

Huyo Mange anayemlaumu Niffer na Mama yake kwa namna walivyoongea na waandishi wa habari hahitaji kupimwa akili?.

Maria Sarungi kila akifungua mdomo ni matusi tu kwa serikali wakati Baba yake alikuwa mmoja wa mawaziri nyeti wa awamu ya pili na ya tatu, hahitaji kupimwa akili?
 
Nafikiri si tu huna akili bali hekima ya kiutu.
Pengine hujui kuwa rasilmali kubwa zaidi ni watu, huangamizi hiyo rasilmali, kwa akili ndogo tu.
Hao watu wanapokuwa na lengo lenye madhara ya moja kwa moja kwa dola, wanaweza kuumizwa pia.

Jiulize ni kwanini hakuna mtu hata mmoja aliyetoka nje tarehe 9 Desemba.
 
Wazungu ndio wanao waambia muue watu kisa tu wanapo wakosoa !?
acheni ungese ,
 
Neno la Rais hadharani ni agizo kwa mamlaka husika. Hawana sababu ya msingi ya kumuondoa Samia kwa sasa.

Punguzeni ukasuku wa kitoto.
Kwani walikuwa na sababu ya kumuondoa Sadam au Gadafi, ukiingia anga zao wanakuflash. Angalia anavyohangaika hata kupiga nao picha tu anaona fahari.
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 

Nali gani hizo za kuachia. Kila kitubtatari Wahuni washakifanuia biashara. Kuanzia Tanzanite, gas, Uranium, dhahabu, almasi, makaa ya mawe, Ngorongoro, misitu mpaka bandari. Sijui ni nini kimebakizwa ambacho mnataka kukitumia kama kisingizio...!?
 
Eti tutaipigania Tanzania!? Pumbavu! Unaipigania Tanzania au kuwapigania watekaji na wauaji!? Unahitaji kupimwa Akili.
Mbona tarehe 9 desemba hakuna aliyeuwawa?. Tutaipigania nchi hii kwa wivu mkubwa.

Mkileta upuuzi wa usaliti hatutawaacha salama.
 
Nali gani hizo za kuachia. Kila kitubtatari Wahuni washakifanuia biashara. Kuanzia Tanzanite, gas, Uranium, dhahabu, almasi, makaa ya mawe, Ngorongoro, misitu mpaka bandari. Sijui ni nini kimebakizwa ambacho mnataka kukitumia kama kisingizio...!?
Ukisikiliza story za media chonganishi kila kitu kimechukuliwa na wageni, ukisikiliza yale yanayosemwa na wenye dhamana huko serikalini unapata picha tofauti na hizi habari za kimbea.
 
Lissu alijiapiza akisema kitanuka na uchaguzi hautafanyika. Na kweli kikanuka vibaya sana siku ya uchaguzi.

Tupo kwenye mstari ulionyooka, hao mawakala wa wazungu tutashughulika nao mmoja baada ya mwingine.
Wewe kilaza wakala wa wazungu ni watawala wenu walioingia mikataba ya kimangungo tangu tupate uhuru.Umekuwa kasuku umekaririshwa ujinga na watawala nawe kama zwazwa unajiropokea tu.
 
Wewe kilaza wakala wa wazungu ni watawala wenu walioingia mikataba ya kimangungo tangu tupate uhuru.Umekuwa kasuku umekaririshwa ujinga na watawala nawe kama zwazwa unajiropokea tu.
Vilaza ni nyinyi mnaofanya shughuli haramu ya kutaka kupindua nchi kwa kuwatumia hao hao wazungu, tumeanza na Mange kule USA accounts zake zote zimepigwa chini na hata akikata rufaa kaambiwa hataweza tena kurudishiwa.

Mtu aliyetumwa na serikali kawaeleza kwa kirefu mabaya yote anayoyafanya katika kuifanyia Tanzania usaliti, mama wa kizungu machozi yakamtoka wakati anasikiliza maelezo yenye kumhusu huyo kichaa Mange.
 
Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola
Wananchi wangapi?
WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki
WanaCCM wangapi?
Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia.

Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na Commonwealth zimepinga ushindi wake
Mhisani ni mhisani, ana hiari ya kukusaidia au aache. Unapoomba si lazima upate- ukipata sawa na usipopata ni sawa. UN,EU,AU, SADC ni wana hiari, kwasababu hatukuwaomba pesa ya gharama za uchaguzi- Si lazima wao waunge mkono.

Fanyeni kazi, key board haitoshi kwa mahitaji yako ya kila siku.
 
Chizi wewe unatuita sisi wananchi wahuni,hujui kwamba hata wewe kima utafaidika na huu ukombozi wetu
 
Kilaza wewe unaimbisha upuuzi nawe unaitikia tu kama zuzu, uchawa umekutoa ufahamu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…