T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Nani kasema zimetumika ndege 100?Wazidungue zilishambulia tokea wapi madhara ya kuishambulia kwa ndege mia wala yasingetaka siku tatu au mbili ngoja tusubiri matokeo ila neta paka kama ndio retaliation aloahidi hii kawapiga sana watu waloamini israhell mweupe Sanaaaaaaa
Zilitumika kwenye anga gani hizo ndege tano ambazo unataka zitunguliweNani kasema zimetumika ndege 100?
Umechanganyikiwa naona. Nakuuliza ndege 100 ulizosema, unabadili unataja ndege 5.Zilitumika kwenye anga gani hizo ndege tano ambazo unataka zitunguliwe
Jibu mbona jepesi ndege mia kwavyanzo nlivyosoma na kama sio Mia hizo zilizo tumika hata kama tatu mulitaka zitunguliwe zikiwa kwenye anga nje ya IranUmechanganyikiwa naona. Nakuuliza ndege 100 ulizosema, unabadili unataja ndege 5.
Kwahiyo unadai zimetumika ngapi, 100 au 5?
Kwahiyo mpaka sasa hujui ulichoongea, hivyo vyanzo vilivyodai ni ndege 100 ni kina nani hao Israeli Airforce au serikali? Au kijiweni kwenu mmeamua kujitungia.Jibu mbona jepesi ndege mia kwavyanzo nlivyosoma na kama sio Mia hizo zilizo tumika hata kama tatu mulitaka zitunguliwe zikiwa kwenye anga nje ya Iran
Nani kasema zimetumika ndege 100?
Hujielewi hata
Hizi porojo zinaonyesha hata huelewi medani za vita.Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!
Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!
Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!
Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900
Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!
Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.
Source: Reuters
acha vichekesho ndege ziliingia wapi...this time tutajua israeli taifa teule au propagandaNdege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
Na hapo wamepata msaada wa wanafik wa Kituruki na Jordan. Licha ya wale mashetani wao wa kawaida wamerekani na uingerea.Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!
Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!
Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!
Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900
Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!
Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.
Source: Reuters
Ndo nimejua leo jamaa kumbe ni mjinga hivyo yeye anajua yeye ndo kipenzi chake israel kimepiga kumbe anaonyesha alovyobondwaHii ni Israhell ilivyopigwa, kumbe we ni mjinga, unatuma tuma tu
kama hivyo vindege vingegusa anga la iran sasa hivi tungekuwa tunasikia vilio huko israeli kwasababu hakuna ndege ambayo ingerudi vindege vimekaa huko vinapigia kwa mbaali kwa kusikilizia sasa tangu lini fimbo ya mbali iue nyokaSawa, Israel wameenda na ndege na zimefyatua mabomu kule Tehran, unataka kutuaminisha kwamba mabomu yaliyorushwa na hizo F35 yametunguliwa juu kwa juu ila ndege haijatunguliwa hata moja, licha ya Wayahudi kuambia Iran kwamba kichapo kinakuja. Ebu tuweke sawa hapo.
Sawa nita kutag Mzee si tupo?Wamewasoma tena😂😂😂Yaani Iran ilivyoiadhibu Israel ile siku na kuchoma bases vile halafu useme wameenda kuwasoma?🤣
Umejiona umetumia akili saana, jinsi Iran ilivyopitisha magimbi yake kwenda Israel ndio Israel imetumia anga la Jordan kupitisha ndege zake kwenda kushambulia iran
Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!
Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!
Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!
Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900
Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!
Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.
Source: Reuters
Kuondoa jeshi na kuwepo mashambulizi vitu viwili tofauti.Proxy ipi washatangaza kuondoa jeshi Lebanon wamefanikiwa israhell bure kabisa
Na huwez shida vita bila boots kwa grounds mzee israhell imeanza kushambulia Syria Leo au Jana vipi anachokishambulia tokea mwaka 2011 na kabla kafanikiwaKuondoa jeshi na kuwepo mashambulizi vitu viwili tofauti.
Israel walishambuliwa Syria, Houthi ya Yemen, Proxies Iran na Iraq bila kuwepo boots on the ground.
Umeelewa?
Jibu swali la msingi ulitaka ndege zitunguliwe kutokea anga la IraqKwahiyo mpaka sasa hujui ulichoongea, hivyo vyanzo vilivyodai ni ndege 100 ni kina nani hao Israeli Airforce au serikali? Au kijiweni kwenu mmeamua kujitungia.
Kwahiyo huna msimamo tena, hudai ni ndege 100 kama mwanzo.
1. Vita ni Malengo, Malengo ndio huleta ushindi.Na huwez shida vita bila boots kwa grounds mzee israhell imeanza kushambulia Syria Leo au Jana vipi anachokishambulia tokea mwaka 2011 na kabla kafanikiwa
Ninachoelewa, Israeli ni lazima iidanganye kuwa Iran ina mifumo mizuri ya kujilinda. So, hii ya leo ni hadaa tu. Thats what happened. Ila tuendako ni kubaya zaidi. Waulizeni Wahouth kilichowapata kwa kike kipigo kimoja tu cha Hodaidor port. Tangia hapo hadi leo,wamefanikiwa kutusha drone moja tu, na haikuwa hivyo.Ndege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae