Hii ni kweli kabisa na nina ushahidi na hiliHuu mtanange hauwezi kuisha maana nimesema HUMAN NATURE.
Hauwezi kumfundisha mtu kitu ambacho hakipo kwenye nature yake ni sawa na kumkataza mwanamke na UREMBO.
Kwa mwanamme hawezi kuvumilia ,hakuna hata mmoja mwenye kifua hicho.
Just imagine mtu kama CHIVAYO Ze Bilionea aliachana na mkewe ,Ze Bilionea Lugumi hana mke ,Mengi naye aliachana na Mkewe ,Biligate kaachana na mkewe ,ELon hana Mke list ni ndefu sana! Nataka kusema ni kwamba Mwanamme hawezi kufake life kuishi eti anavumilia uJINGA tofauti na mwanamke ambaye anaweza kuishi na mtu ndani halafu hampendi hata KIDOGO kwa kufeki feki kibongo movie movie.
Ni kweli mkuu ,mwanamke kutoolewa kwake ni inampa stress so akitokea "MKOLOMIJE" yeyote anapita naye hata kama hampendi na ndiyo maana akishaolewa ndiyo anaanza kudanga danga kwa wale anaowapenda.Hii ni kweli kabisa na nina ushahidi na hili
Iko hiviii, wakati nataka kuoa nilikuwa na choice nyingi sana aka bookings, sasa ikatokea nikaoa yule ambae namkubali kuliko wote Kuna mmoja hivi kumbe alinipenda sana ila katika maisha yake yote anachotamani ni ndoa hivyo akaenda kuolewa mke wa pili kwakuwa mm nilimwambia siwezi ongeza mke
Kiukweli ananipa mistory mingi huko aliko Yani yupo hapo kwa ajili tu aonekane nae ameolewa ila sio kuwa huyo mume anampenda na kwa Afrika hicho sio kitu cha ajabu ndoa bado ni kitu kikubwa sana kwa mwanamke kuliko kuishi bila ndoa ataonekana malaya
Dada huu ulimwengu hakuna usawa na hata mbinguni ni hivyo hivyo,ndio maana kuna Mungu,shetani na malaika wote hao wana majukumu yao tofauti.Na hapa Duniani ni hivyo hivyo,kati ya Mwanaume na Mwanamke kuna moja ni mkubwa kuliko mwingine na obviously ni mwanaume na hii hipo kiimani mpaka kibinadamu.Sitetei msaliti wa kike
Vipi na wewe ukisaliti uawe?
Shida ipo wapi mpaka hizo mbinu zisianikwe ?Ndani ya ndoa kuua hakujaanza leo!!!!
Tena wanaoongoza kwa kuua ni wanawake!! wanawake wanaua sana wanaume si mijini wala vijijini ni vile mbinu bado hazijasanukiwa.
Unataka kusemaje hebu nyookaMoja ya mambo ambao wanawake wanabebwa sana ni DNA na kuua wanaume wa ndoa sema hambebeki
Soma uelewe.Wanawake ndio wanaongoza kuua wanaume
hizi ni takwimu za wapi au unaleta theory hapa mkuu?
Acheni kutuua Period
Kila jamii ina taratibu zake,hiyo inawasaidia wanawake kuwa na utii.kupiga magoti ni ishara ya utii.Kipenzi, wanaume wa hii nchi sahau kama watabadilika. Malezi wanayopewa huko majumbani, yanawafanya wao wajione miungu watu. Imagine mtu anakua kwenye utamaduni ambao mtoto mdogo wa kiume anapigiwa magoti na mwanamke mkubwa akiwa anapewa chakula. Unategemea huyu mtoto akikua mkubwa atachukulia mwanamke kama binadamu au atamuona kama ng'ombe tu??. Sisi wanawake ndo tuhamasishane kukataa ukatili. Na ukatili hua hauanzi mkubwa,unaanza kidogo kidogo. Tuwaambie mabinti zetu" ukipigwa kofi kimbia, ukitishiwa kwa maneno kimbia".uhai ndo muhimu zaidi vingine vyote vinatafutwa. Ila wanawake unakuta ndo tunaambiana" kofi tu unaondoka,bibi zetu walivumilia vipigo, wanaume wote ndo wapo hivyo". Mwisho wa siku mtu anauwawa. Unyanyasaji utakomeshwa na sisi wanawake sio kusubiri wanyanyasaji watuonee huruma.
Ukatili ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo.Wakati wa enzi za jando na unyago ukatili haukuwepo mkuu?.
Weka takwimu acha maneno tupuSoma uelewe.
Wanawake wanaongoza kuua wanaume indirectly, period!!
Ombeeni mahusiano yenu
View attachment 3686720
Utegemezi sio hoja,nchi za ulaya asilimia kubwa ya wanawake wanajitegemea kiuchumi na bado wanauwawa kama mchwa.Utegemezi hapo nakazia, utegemezi.
Ulaya ya wapi huko?. Ambapo ukimpiga mke wako jela inakuhusu?. Na mmekazania point ya usaliti, hamtaki kugusia wanaume wanaoua wake zao ilihali wake zao hawajafanya usaliti. Na hapo hapo mnataka wake zenu wawavumilie nyie mkifanya usaliti, vichekesho vya karne.Utegemezi sio hoja,nchi za ulaya asilimia kubwa ya wanawake wanajitegemea kiuchumi na bado wanauwawa kama mchwa.
Mwanamke hata uwe na kipato kikubwa kama bakherasa kama umeolewa na ukafanya usaliti kwenye ndoa yako-huyo.mwenza wako anaweza kukua tu tena vizuri.
Cha msingi labda uwe na kupato halafu uamue kuwa singo.
Sasa uliposema jando na unyago zirudi ulimaanisha nini mkuu kama wakati zipo ukatili ulikuwepo vile vile?Ukatili ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo.
Ila ukatili wa mpaka kufikia kuuana ni jambo lingine kabisa.
Hawa watu nilidhani nawajua 🙌🏼Ulaya ya wapi huko?. Ambapo ukimpiga mke wako jela inakuhusu?. Na mmekazania point ya usaliti, hamtaki kugusia wanaume wanaoua wake zao ilihali wake zao hawajafanya usaliti. Na hapo hapo mnataka wake zenu wawavumilie nyie mkifanya usaliti, vichekesho vya karne.
Mwanamke mtu mzima anamtii mtoto wa kiume wa miaka mitano???.Kila jamii ina taratibu zake,hiyo inawasaidia wanawake kuwa na utii.kupiga magoti ni ishara ya utii.
Pole binti naona ulikuwa huwajuii.Hawa watu nilidhani nawajua 🙌🏼
Anaondoka kwa mbwembwe huku Makebo akiyatingisha!Ati, nitafute mali kwa jasho machozi, na damu halafu uje kuchukua (kutaka iwe yako) tu kirahisi na kuondoka nayo huku sehemu za nyuma ukizitingisha?!
Hapana, nitakupiga risasi Moja ya heshima kichwani 😎
Biologically, humans are animals. Between men and women, which sex generally has a greater biological desire for sexual intercourse?Wewe mwanaume ukiwa malayer huna haki kabisa ya kusema umalayer wa mwanamke acheni u selfish
Na ndio chanzo cha kuwashiana mioto hicho, sema hawa wanawake akishakupa mbususu anaona kamaliza madeni yote kwako kiasi kwamba hata kama umemhonga jumba la ikulu akishakupa papa mara moja anahisi kashamalizana nawewe hivyo humdai hata akienda kwa mwingine sio kesiNi kweli mkuu ,mwanamke kutoolewa kwake ni inampa stress so akitokea "MKOLOMIJE" yeyote anapita naye hata kama hampendi na ndiyo maana akishaolewa ndiyo anaanza kudanga danga kwa wale anaowapenda.
Yeah,nimependa ulivyomaliza hapo chini,wakiingia wawe wapole tamaa nyuma uaminifu mbele au wasiingie kabisa wakishawishiwa wakatae.Sa hivi wameng’ang’ania ka point kao ka tamaa ya mali, hizo takwimu
Mi natoa wito kwa wanawake wenzangu, it’s either muwe wapole au muache kuhusiana na hawa watu, Walahi mtaisha kweli.