Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Kwako wewe mwanamke kuzabwa kibao ni sababu ya kukimbia ndoa.?

Ifike pahala msiolewe kabisa nyie sio wanawake ni wasichana
Wewe mke wako akikuzaba kibao utaona ni sawa tu??? Hivi nyie kenge nani kawaambia kuwa wanawake ni sawa na ng'ombe au mbuzi kwenye mahusiano?

Nani kawaambia kuwa wanawake wameumbwa kwa vyuma na siyo flesh and blood just like you? Siyo body and soul like you?

Kwa nini mnataka avumilie vitu ambavyo nyinyi wanaume HAMUWEZI kuvumilia???
 
Lakini pia tamaa haiingii kwenye mali tu tunapo zungumza tamaa ni angle zote.

Kuna wanawake wanapenda sana wanaume zaidi ya mmoja hii ni nini ? Ni tamaa pia.
Nyie si huwa mnatamba kabisa kuwa mwanaume HAWEZI kuwa na mwanamke mmoja!!! Kwamba mna haki zaidi? Kwamba nyie ni binadamu zaidi? Kwamba mna tamaa zaidi?
 
Mama yako, shangazi zako na dada zako wakiuza mbususu unadhani wanawake wote wanauza mbususu?
Mama yangu= huyu aliolewa hadi kifo kinawatenganisha na baba nae aliishi kwa kumtegemea mwanaume

Shangazi zangu= wote wameolewa vijijini huko na wanaishi kwa kuwategemea waume zao

Dada zangu= ninao wanne na wote wana waume zao wanawategemea

Note: hongo lipo la aina nyingi lipo katika mfumo wa cash, kazi, kibarua, ujuzi lakini target hapa ni return ya mbususu je wewe unajitegemea kwa hongo gani hapo
 
Actualy si wanaume wote, kuna small percentage haswa wale ambao wameshajipata na wako emotionaly secure.

Those kind si maboya, mwanamke akitikisa kibuyu kidogo, the guy haongei ameshafanya decision

So it depends
 
Umeandika kwa uchungu sana. Lakini kila siku huwa nauliza. Hivi kweli katika maisha ya kawaida, mwanaume anafanya hayo YOTE mazuri uliyoandika kwa mke wake. Hivi ni mwanamke gani ambaye anapendwa na mume wake anafanyiwa kila zuri na mume wake atataka kuharibu huo uhusiano au ndoa from NOWHERE????

SIDHANI!!! Kuna wanaume wanaweza kuwa wanafanya hayo kwa wake zao LAKINI kuna manyanyaso wanafanya kwa wake zao lakini kwa wanaume wanadhani MATERIAL THINGS kws mwanamke is EVERYTHING to keep the woman love that man and loyal to you.
 
Watu kama hao nadhani wanaona Bibi zao, Mama zao, shangazi zao, Dada zao, wake zao, binti zao ndiyo maisha wanayoishi kwa hiyo wanadhani wanawake WOTE ndiyo maisha yao!!!
Hovyo kabisa wanaume heshima yao tunawapa ila wapunguze kujipa umuhimu
 
Hawa watu wanajiona watakatifu
Wao ndio wenye hisia
Wao ndio wenye moyo

Nasema siku zote wanaume wajinga humuona mwanamke kama tishio

Hapo ndio kosa linafanyika
Badala amfanye mke kua mshirika
 
Nyie si huwa mnatamba kabisa kuwa mwanaume HAWEZI kuwa na mwanamke mmoja!!! Kwamba mna haki zaidi? Kwamba nyie ni binadamu zaidi? Kwamba mna tamaa zaidi?
Kwenye uzi wangu fulan wa Human Nature
Kuna mwanaume ka comment kua wao usaliti ni Nature yao lol hovyo kabisa
 
MEN can’t take what they dish out, Wanaume hawawezi kuvumilia/kupokea wanachowatendea wanawake. Hii kauli ni 💯
 
You never miss 📌 🔥


Badala ya kusoma wakajitafakari, wanashupaza vichwa kubishana.

Tushukuru kwamba wanawake wengi tumeumbiwa uvumilivu, tungekua na maamuzi ya kukurupuka kama wao basi tungemalizana kwa kweli!
 
Aisee ,ni noma
 
Ila kwenye hii battle wanawake mnatumaliza kweli kweli hapa tu ninapoishi bibi mchaga amemmaliza mumewe toka 1986 hadi Leo anakula bata kwenye jumba lake la kifahari na mazaga mengine kama fremu na sites mbalimbali za mapato alizoacha mumewe. Ndugu wanaoingizana hapa ni wajomba tu sio baba wadogo wala shangazi watu
 
Hakika
 
Tungekua na roho za kuku kama wao kingewaka ila sasa sisi ni watu makini sana babes 😍
 
We una Pepo la u feminism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…