Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Ndio mjibiane kwa hoja
Hoja gani.? Yani huyu Bwege nimjibu kwa hoja wakati mleta viroja.!

We unadhani bibi zenu wangezingatia Kelbu kwa Uzito nyie mngekuta hata wasifu wao.? Kwamba wewe nyoge bint Nyozo wa Gugeni.! Hamna akili

Bibi zenu walikuwa wakipigwa Kelbu anajiuliza wapi kakosea akakomoe mtu kwa bed.! 🤭

Nyie mkezana kutunisha misuli. Tena ni kheri mwanamke ufe kuliko kukosa meno ya reception
 
Hovyoooooooooooooo
Mada closed
Mimi na wewe tutakutana kwenye mijadala mingine
Kwa mjadala huu nimekushusha vyeo
 
Hovyoooooooooooooo
Mada closed
Mimi na wewe tutakutana kwenye mijadala mingine
Kwa mjadala huu nimekushusha vyeo
Hivi Kuna vyeo humu.! 😎

Dada Nisamehe ni ndoto yangu kuwa mpiga Mop kwa hofisi za Mello ntu Na Nusu.!
 
Hivi Kuna vyeo humu.! 😎
Eeeh si ndio maana kuna senior member
Expert member
Platinum member
Dada Nisamehe ni ndoto yangu kuwa mpiga Mop kwa hofisi za Mello ntu Na Nusu.!
Nisipokusamehe ndoto inazimika 😅
Sina tatizo na wewe ni vile tumeshindwa kuelewana kwenye huu mjadala ila naimani tulikua kwenye mjadala tu si vinginevyo
 
Eeeh si ndio maana kuna senior member
Expert member
Platinum member

Nisipokusamehe ndoto inazimika 😅
Sina tatizo na wewe ni vile tumeshindwa kuelewana kwenye huu mjadala ila naimani tulikua kwenye mjadala tu si vinginevyo
Haya kakojoe ukalale
 
"Mwanamke mjinga ataiharibu ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe "

Ukiamua kuolewa kubali kuolewa, kama hutaki endelea na maisha yako. Ukiingia kwenye ndoa alafu ukaleta danadana za usaliti, na kupimia mali kwa jasho la mwenzako,,, tegemea lolote linaweza kutokea.
 
Hali ni mbaya sana kwa ground, ukiona imefika mahali ndoa haiwezi tena kurekebishwa ni bora muachane kwa amani.

Hapa waathirka wakuu ni watoto, kabla ya kufanya tukio baya ushawahi kufikiria watoto wako jinsi watakavyo hangaika.
 
Ati, nitafute mali kwa jasho machozi, na damu halafu uje kuchukua (kutaka iwe yako) tu kirahisi na kuondoka nayo huku sehemu za nyuma ukizitingisha?!

Hapana, nitakupiga risasi Moja ya heshima kichwani 😎
Risasi moja kwa heshima Mkubw Ayattolah😂
 
Mjinga zaidi ni wewe ulieoa mwanamke mjinga period

Tulizeni mihemko acheni kuua
Tafuteni ushauri nasaha
 
Hali ni mbaya sana kwa ground, ukiona imefika mahali ndoa haiwezi tena kurekebishwa ni bora muachane kwa amani.

Hapa waathirka wakuu ni watoto, kabla ya kufanya tukio baya ushawahi kufikiria watoto wako jinsi watakavyo hangaika.
Hali ni mbaya tuwalee watoto Vizuri haya nayo ni matokeo ya malezi mtoto kwenye ukuaji wake anakua akiona ukatili mwisho anaona ni jambo la kawaida
 
Mjinga zaidi ni wewe ulieoa mwanamke mjinga period

Tulizeni mihemko acheni kuua
Tafuteni ushari nasaha
Kwa maana hiyo unanishibitishia kwamba wanawake wanaojaribu kuomba talaka kwa lengo la kujichotea mali ni "wajinga period" 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…