Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Halafu utamsikia mtanzania wa Ilala, anasema from the sea to the river au free Palestine.
Free Palestine 🇵🇸

hii msialaumu Hamas laumuni makafir wenzenu Israel wanaotaka kupokonya ardhi ya Wapalestine kwa mabavu na kuwanya Watumwa.
 
Semeni ukweli hao makafir walienda kufanya nini huko msituletee hadithi za sungula na fisi eti walienda kufuga ng’ombe wa maziwa 😏
 
Yaani waafrika tuna shida kubwa sana mahala kwakweli dah
 
Wewe sema ukweli upoje? Tueleze alifikaje Ghaza?
 
Umeeleweka mkuu, ina mana scenario ilikuaje may be waliua kwa bahati mbaya israel au waliua wakat wa mashambulizi.
 
Waarabu mtapigwa mpk mchakae,mzayuni hamumuwezi
 
Umeeleweka mkuu, ina mana scenario ilikuaje may be waliua kwa bahati mbaya israel au waliua wakat wa mashambulizi.
Ilikuwa shambulizi la awali kabisa na kuna habari kwamba katika shambulio la awali israel wao walikiri waliua raia wao bila kukusudia..

Ishu ya kusema wamekaa na mwili miezi haiwezi kama angekuwa kweli kafia akiwa katekwa mwili wske ungejumuishwa na waliaochiwa first batch ...Inaingia akilini kweli wabaki na maiti 😅😅
 
Hao watu wa wizara ya Mambo ya.nje wamekwenda kutalii. Juzi rais was Zanzibar amekwenda Qatar ambao ni wafadhili wakuu was Hamas ameshindwa kuongea nao, wakati tunaelezwa anamwakilisha rais was Tanzania.
 

Joshua Mollel: Mtanzania wa pili kuuawa aliyetekwa na Hamas​


BBC Swahili, Nairobi

CHANZO CHA PICHA,JOSHUA MOLLEL
Maelezo ya picha,
Joshua Mollel aliwasili Israel mwezi mmoja tu kabla ya shambulio la Hamas

Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea taarifa kutoka serikali ya Israel kuhusu kifo cha mwanafunzi Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel na aliyetekwa nyara tarehe 7 Oktoba 2023 wakati kundi la Hamas liliposhambulia Israel.
Kupitia ujumbe wa X iliyojulikana kama Twitter hapo awali,Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania January Makamba amesema ameongea na baba ya marehemu Joshua, Mzee Mollel kuhusu ujumbe huo
 
Jifunze uandishi,unapoandika joshua na kuweka alama hii: na kuweka maneno mbele maana yake hiyo kauli kaitoa joshua kumbe sio
 

Mumeshikilia miili yao muifanyie nini, yaani hiyo dini balaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…