Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Sasa huyu kijana alikuwa na makosa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siropoki ChiefUwe inafuatilia, siyo kuropoka tu kwa kadiri unavyowaza wewe.
Mpaka sasa, mateka waliokufa wakiwa mikononi mwa Hamas, kwa mujibu wa maelezo ya Hamas, ni 18. Siyo kwamba waliwateka halafu walivyofika huko waliwaua. Bali wakati wanawateka, wengine walikuwa wamewajeruhi vibaya, wengine waliwapiga sana kwa sababu hawakuwa tayari kuwa mateka, wengine wameugua wakiwa mikononi mwa Hamas. Hamas wanasema kuwa wamekuwa wakishindwa kuwapeleka hospitalini kwa sababu ya kuogopa mashambulizi ya Israel.
Kama ni mfuatiliaji, ulisikia juu ya kukwama kwa kuongeza muda wa kuacha mapigano ili ubadilishanaji wa mateka uendelee. Israel iligoma baada ya Hamas, kwenye orodha ya mateka 15 wa kubadilishana, iliweka watu hai 11, na miili ya wafu 4. Israel ilitaka iondolewe miili, wawekwe watu hai, Hamas wakagoma, wakidai kuwa raia hai wameisha, waliobakia wanashikiliwa na makundi mengine. Waliobakia kwa upande wao ni askari wa Israel ambao hawawezi kuwaachia.
Na si ajabu mpaka sasa, marehemu waliopo mikononi mwa Hamas ni zaidi ya 18.
Pole sanaKwa kweli ubalozi wa Palestina ufutwe haraka sana. Hauna faida kwetu. Kuna siku unaweza kuja kutumika kutuletea magaidi nchini.
Ndugu zako wawili huko migombani wameuliwa na israel nenda kazike.Unasahihisha nini mauaji nyie waabudu mwarabu
Wazazi mtawapelekaje watoto kwa mazayuni, ona sasa kilichowakuta!
God bless Hamas
God bless Palestine [emoji1193]
Watoto wenye mabomuEndeleeni kukariri eti "Taifa teule" taifa teule linauwa watoto, mna dhambi ninyi, basi tu
Gone too soon..Joshua Mollel: Mtanzania wa pili kuuawa aliyetekwa na Hamas
BBC Swahili, Nairobi
![]()
CHANZO CHA PICHA,JOSHUA MOLLEL
Maelezo ya picha,
Joshua Mollel aliwasili Israel mwezi mmoja tu kabla ya shambulio la Hamas
Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea taarifa kutoka serikali ya Israel kuhusu kifo cha mwanafunzi Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel na aliyetekwa nyara tarehe 7 Oktoba 2023 wakati kundi la Hamas liliposhambulia Israel.
Kupitia ujumbe wa X iliyojulikana kama Twitter hapo awali,Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania January Makamba amesema ameongea na baba ya marehemu Joshua, Mzee Mollel kuhusu ujumbe huo
Siku moja jielimishe, Kipindi cha Baba wa Taifa alikata ubalozi na Israel. Baba wa Taifa mwenye KheriSerikali ya awamu ya sita imeshindwa hata kutoa kauli ya kulaani kutekwa kwa kwa raia wake, kazi ni kusifu na kutukuza ujinga, huku tukipokea maiti za watanzania waliouawa na magaidi wa hamas. Inaumiza sana
Huku tunaandamana kiwendawazimu na bendera fuata upepoJoshua Mollel: Mtanzania wa pili kuuawa aliyetekwa na Hamas
BBC Swahili, Nairobi
![]()
CHANZO CHA PICHA,JOSHUA MOLLEL
Maelezo ya picha,
Joshua Mollel aliwasili Israel mwezi mmoja tu kabla ya shambulio la Hamas
Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea taarifa kutoka serikali ya Israel kuhusu kifo cha mwanafunzi Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel na aliyetekwa nyara tarehe 7 Oktoba 2023 wakati kundi la Hamas liliposhambulia Israel.
Kupitia ujumbe wa X iliyojulikana kama Twitter hapo awali,Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania January Makamba amesema ameongea na baba ya marehemu Joshua, Mzee Mollel kuhusu ujumbe huo
Ukristo wao ndiyo umefanya wauwawe hawa vijana. Waarabu wanaudini sana. Siyo waarabu wa Tanzania lakini.Joshua Mollel: Mtanzania wa pili kuuawa aliyetekwa na Hamas
BBC Swahili, Nairobi
![]()
CHANZO CHA PICHA,JOSHUA MOLLEL
Maelezo ya picha,
Joshua Mollel aliwasili Israel mwezi mmoja tu kabla ya shambulio la Hamas
Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea taarifa kutoka serikali ya Israel kuhusu kifo cha mwanafunzi Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel na aliyetekwa nyara tarehe 7 Oktoba 2023 wakati kundi la Hamas liliposhambulia Israel.
Kupitia ujumbe wa X iliyojulikana kama Twitter hapo awali,Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania January Makamba amesema ameongea na baba ya marehemu Joshua, Mzee Mollel kuhusu ujumbe huo
Ulaaniwe kabisa ww gaidi la kiislamu mna roho mbaya sn ham hamfai kuishi dunianiInna li Llahi wa inna Ilayhi Rajiun, wawekwe popote wanapostahili.
, wapo wengi sana hao kutoka nchi mbali mbali duniani waliouliwa na mazayuni wenyewe na mazayuni wamekiri kuuwa.
Ni mpumbavu tu ambae atapeleka mwanawe akasome israel, hivi huwa hamuelewi kuwa hiyo nchi ipo vitani kuanzia mwaka 1948?
Halafu cha kujiuliza, huyo mpumbavu alienda kusoma au kucheza disco?