Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Poleni sana kwa familia na waTanzania wote

KUTOKA MAKTABA : MZEE MOLLEL AKIHOJIWA NA KITUO CHA TELEVISHENI CHA MAREKANI

Mzee Loitu Mollel video clip hapo chini akihojiwa na kituo cha televisheni cha PBS News Hour cha Marekani kuhusu mwanae Joshua Mollel ambaye hadi sasa hajulikani alipo hapo tarehe 05 December 2023. Mzee Loitu Mollel amzungumzia kuhusu bidii ya mtoto wake Joshua Mollel kwa kirefu na clip ikionesha Joshua kwa vitendo alivyo jikita katika kujiendeleza kwa bidii akiwa na matumaini ya kesho bora zaidi kwa familia yake na taifa la Tanzania katika ujumla wake.

View: https://m.youtube.com/watch?v=K-sfcAuY3lc
But of the 240 hostages, dozens were migrant workers from Thailand, the Philippines, Tanzania and Nepal. Nick Schifrin has some of their stories.
 
Ndiyo maana Mayahudi hawataki cha ceasefire ni kutembeza kichapo tu
 
Uwe inafuatilia, siyo kuropoka tu kwa kadiri unavyowaza wewe.

Mpaka sasa, mateka waliokufa wakiwa mikononi mwa Hamas, kwa mujibu wa maelezo ya Hamas, ni 18. Siyo kwamba waliwateka halafu walivyofika huko waliwaua. Bali wakati wanawateka, wengine walikuwa wamewajeruhi vibaya, wengine waliwapiga sana kwa sababu hawakuwa tayari kuwa mateka, wengine wameugua wakiwa mikononi mwa Hamas. Hamas wanasema kuwa wamekuwa wakishindwa kuwapeleka hospitalini kwa sababu ya kuogopa mashambulizi ya Israel.

Kama ni mfuatiliaji, ulisikia juu ya kukwama kwa kuongeza muda wa kuacha mapigano ili ubadilishanaji wa mateka uendelee. Israel iligoma baada ya Hamas, kwenye orodha ya mateka 15 wa kubadilishana, iliweka watu hai 11, na miili ya wafu 4. Israel ilitaka iondolewe miili, wawekwe watu hai, Hamas wakagoma, wakidai kuwa raia hai wameisha, waliobakia wanashikiliwa na makundi mengine. Waliobakia kwa upande wao ni askari wa Israel ambao hawawezi kuwaachia.

Na si ajabu mpaka sasa, marehemu waliopo mikononi mwa Hamas ni zaidi ya 18.
Siropoki Chief
Ila chunguza vzr maneno yako,ndio utaona uroporopo wako.
 
Joshua Mollel: Mtanzania wa pili kuuawa aliyetekwa na Hamas​

BBC Swahili, Nairobi
TH

CHANZO CHA PICHA,JOSHUA MOLLEL
Maelezo ya picha,
Joshua Mollel aliwasili Israel mwezi mmoja tu kabla ya shambulio la Hamas

Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea taarifa kutoka serikali ya Israel kuhusu kifo cha mwanafunzi Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel na aliyetekwa nyara tarehe 7 Oktoba 2023 wakati kundi la Hamas liliposhambulia Israel.
Kupitia ujumbe wa X iliyojulikana kama Twitter hapo awali,Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania January Makamba amesema ameongea na baba ya marehemu Joshua, Mzee Mollel kuhusu ujumbe huo
Gone too soon..

Rip.
 
Serikali ya awamu ya sita imeshindwa hata kutoa kauli ya kulaani kutekwa kwa kwa raia wake, kazi ni kusifu na kutukuza ujinga, huku tukipokea maiti za watanzania waliouawa na magaidi wa hamas. Inaumiza sana
Siku moja jielimishe, Kipindi cha Baba wa Taifa alikata ubalozi na Israel. Baba wa Taifa mwenye Kheri
 
Joshua Mollel: Mtanzania wa pili kuuawa aliyetekwa na Hamas​

BBC Swahili, Nairobi
TH

CHANZO CHA PICHA,JOSHUA MOLLEL
Maelezo ya picha,
Joshua Mollel aliwasili Israel mwezi mmoja tu kabla ya shambulio la Hamas

Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea taarifa kutoka serikali ya Israel kuhusu kifo cha mwanafunzi Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel na aliyetekwa nyara tarehe 7 Oktoba 2023 wakati kundi la Hamas liliposhambulia Israel.
Kupitia ujumbe wa X iliyojulikana kama Twitter hapo awali,Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania January Makamba amesema ameongea na baba ya marehemu Joshua, Mzee Mollel kuhusu ujumbe huo
Huku tunaandamana kiwendawazimu na bendera fuata upepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joshua Mollel: Mtanzania wa pili kuuawa aliyetekwa na Hamas​

BBC Swahili, Nairobi
TH

CHANZO CHA PICHA,JOSHUA MOLLEL
Maelezo ya picha,
Joshua Mollel aliwasili Israel mwezi mmoja tu kabla ya shambulio la Hamas

Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea taarifa kutoka serikali ya Israel kuhusu kifo cha mwanafunzi Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel na aliyetekwa nyara tarehe 7 Oktoba 2023 wakati kundi la Hamas liliposhambulia Israel.
Kupitia ujumbe wa X iliyojulikana kama Twitter hapo awali,Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania January Makamba amesema ameongea na baba ya marehemu Joshua, Mzee Mollel kuhusu ujumbe huo
Ukristo wao ndiyo umefanya wauwawe hawa vijana. Waarabu wanaudini sana. Siyo waarabu wa Tanzania lakini.
 
Ila Tanzania tunatukuza udini kuliko utanzania wetu. Mtanzania katekwa na Hamas kauawa mikononi mwa Hamas. Mtu anawatetea Hamas na kumuona mtanzania mwenzake hafai. Aiseeh!
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi Rajiun, wawekwe popote wanapostahili.

, wapo wengi sana hao kutoka nchi mbali mbali duniani waliouliwa na mazayuni wenyewe na mazayuni wamekiri kuuwa.

Ni mpumbavu tu ambae atapeleka mwanawe akasome israel, hivi huwa hamuelewi kuwa hiyo nchi ipo vitani kuanzia mwaka 1948?

Halafu cha kujiuliza, huyo mpumbavu alienda kusoma au kucheza disco?
Ulaaniwe kabisa ww gaidi la kiislamu mna roho mbaya sn ham hamfai kuishi duniani
 
Back
Top Bottom