Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

bob tulia .hata hujiulizi mtu kufikia kustake M 2.think big

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🌷 *Number🌷:Z5TDVR8X* 🌷
17/04/2019 06:11:07
Code 6310 Date 17/04/2019 20:00
Event Manchester City - Tottenham
Live/Prematch Prematch *Selection 1*


Code 6311 Date 17/04/2019 20:00
Event FC Porto - Liverpool
Live/Prematch Prematch *Selection GG*


👑 *Dr JESBORN* 👑
 
Wakuu habari za leo? Najua sio salama sana kwa wale wenzetu ambao mliweka direct win kwa Juventus Turin, maana macho yote yalikuwa pale... Poleni sana, ndio mpira ulivyo hauna adabu, dakika 1 tu inaweza kubadilisha kila kitu kwenye mpira. Tupo tuliostuka mapema kumpa direct win Juventus Turin, maana game ilikuwa haitabiriki. Lakini pamoja na yote, kawaida ya hizi bet ni kula na kuliwa, wengine tuna miezi hatujawin hata bet moja, bet zote tunaangukia pua!

Leo UCL inaendelea guys, najua wengi wana imani na Man City kwa kumpa direct win. Hatupangiani namna ya kubet ila kuongezeana madini ni jambo la msingi. Guys hii game ya City na Spurs haitabiriki, inahitaji sana utulivu wa akili kabla hujaweka stake. Bora game ya Porto na Liver kidogo ina unafuu japo mimi naamini kabisa Liver kule Portugal hawachomoki hata wacheze uchi watapigwa si chini ya bao 2 mpaka 3; tutandike mikeka wazee tukutane saa 7...
 
Kampuni za hapa kiTz ni za Kishenzi sana, Premierbet nilitoa 450,000/ jumapili ya tarehe 7 eti mpaka leo haijafika wanabaki kuandika tu "processing".
 
Jana watu wa over ndio walitamba hapa. Sisi wa direct win ilikuwa msiba. Leo ni zamu ya sisi wa direct win kutamba.
Game ya FC Porto v Liverpool ndio itaharibu sherehe ya OVER.
 
Jana watu wa over ndio walitamba hapa. Sisi wa direct win ilikuwa msiba. Leo ni zamu ya sisi wa direct win kutamba.
Game ya FC Porto v Liverpool ndio itaharibu sherehe ya OVER.
tupe madini mkuu mi mambo za over zimenishindaga alafu nikiweka hata 1.5 over inachana kama al ahly siku ile ningejiwekea tu direct win ingetiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…