Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukicheza magoli hawafungani

Tottenham mnakwama wapi?
 
Si kweli meridian wako vizuri siku hizi mi natumia app yao na sijaona ratio mpaka sasa ilikuwa zamani sana
Mkuu hakuna watu vichaa kama hao tokea mwaka 2016 naangaika kujiunga kwao cjawahi fanikiwa kujiunga hapo ndio utajua jamaa hawako serious na biashara

Imagine najirejista wanasema watatuma link ni activate akaunti, nilikaa after 1yr ndio wakatuma link, ajabu iyo link uki click wanakupeleka sehemu ya ku login wanakuwekea kila kitu uki click login wnaleta msg hii


Baadae juzi juzi nikasema labda nibadili email na phone number nifanye registration, nilichoambulia ni hali ile ile ingawa activation link waliwahi kunitumia. Katika uzoefu wangu sijawahi kushindwa kufanya Registration kwenye bet company ila kwa meridian nimeshindwa mpaka leo. Hii ndio sababu sijawahi kua na akaunti ya meridian mpaka leo hii
 
Hawako serious na biashara ya mtandaoni
 
Mkuu hapa kuna wachawi hawakawii kuleta figisufigusu ili kampuny zao ndo zibaki sokon kimbuka walivyobani mobile payment ikaja kqmpuny mbadala kwa opt zilezile nayo wakaihujumu
Mkuu thanks nimefanikiwa ku deposit

Nakula mema ya nchi Sio kampuni za bongo ukiingia live unakutana na option ya magoli
 
Atletico Madrid v Real Valladolid
Sergio Camello-NO
Player to score a goal at any time
Odds 1.56

Crystal Palace v Everton
Palace Handicap 2-0
Odds 1.16

Barcelona v Levante
2ND Half
Barcelona Win
Odds 1.39

Total Odds 2.5479
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…