Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Mkuu futbal kila tukijikakamua hakuna kitu, hebu cheki hii
View attachment 1102670View attachment 1102671
Mkuu futbal kila tukijikakamua hakuna kitu, hebu cheki hii
View attachment 1102670View attachment 1102671
Naona unakula matunda mkongwe..Hongera sanaPdidy Nimeahamua kum ignore ili nisimuone tena. Niko likizo natumia faida niliopata. Nitarudi final ya Europa na UCL kisha ntapumzika kusubiria AFCON
Mkongwe leo basket vip?
Odd za maana wakati home win ilikuwa na odds 1.08!Da pmbet odd za mana sana nimepga mech ya simba na Ndanda ila malipo yanachelewa balaha
Leo mechi zipo za Kiaina xana mkuu, leo mwendo wa odds 2 tu ntatupia muda x mrefu tujaribu bahati. Nmejaribu kutega kwny tennis nione km ntapata kitu kwa leoMkongwe leo basket vip?
Mimi kuna siku nilistake 20, 000, ilikuwa inacheza swanswea city v man city, mpaka dakika ya 84 ubao ulikuwa 2-2, nikambilia kuuza mkeka na mrusi akaniaambia ananunua kwa 300 na sent kadhaa. Nikasema siuzi bora tu nife kiume, dakika ya 87 mara goaaaal city anaongoza. Kuna muda tunauzaga kwa woga tu.kuna sku nlistake 15k baada ya mechi kufnya madudu naambia nisell kwa senti 89 hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee hawa kua nao makin sanaaa watabia ya kugeuza prediction awa nisha wahi wafuatilia nika kuta iko kitu.... Na ushahid ninao so kua care sanaaa....ndugu yanguPEView attachment 1102501SA MFUKON
Aliyefata ajiandae kwenda kwa wakala, NNE zimetick imebak game ya kwanza nae set ya 1 kashinda ya 2 anaongoza pia.
Mkuu inategemea na situation ikojeMimi ku
Mimi kuna siku nilistake 20, 000, ilikuwa inacheza swanswea city v man city, mpaka dakika ya 84 ubao ulikuwa 2-2, nikambilia kuuza mkeka na mrusi akaniaambia ananunua kwa 300 na sent kadhaa. Nikasema siuzi bora tu nife kiume, dakika ya 87 mara goaaaal city anaongoza. Kuna muda tunauzaga kwa woga tu.
DahMkuu futbal kila tukijikakamua hakuna kitu, hebu cheki hii
View attachment 1102670View attachment 1102671
Kutuma kutoka safaricom kuja mpesa ya bongo nafanyejeHapo umemtumia mtu wa Kenya nasio namba yako ya Voda Tanzania wapigie Safaricom wajaribu kuirudisha Kama haijatoka kwa uliemtumia
Line inafanya kazi tz nzima. Unatuma pesa kutoka M-Pesa tz unaipeleka M-Pesa Kenya then unaipandisha 1xbet. Rahisi sana. Kuna watu humu nimewauzia line za Safaricom lakini hawataki kuja kuwaambia wenzao jinsi ilivyo rahisi.
Wengine wanalalamika bei ni kubwa Mara Usafiri gharama, laiti mngejua mchakato wa kuitoa Kenya ulivyo mgumu msingeongea maneni ya kejeli.
Betting njema wadau tukutane kwenye play offs za NBA.
Sent using Jamii Forums mobile app
namba lazma ianzie na +255Nisaidie pale ninapohamisha kutoka safaricom kuja mpesa naandikaje namba ni kama kamawaida au kuna fomati maalum
Hongera mkuuya daku