Daah!! Hii timu nikiiamini inaniua... Nikiiua inashinda.Mkuu nadhani nilipokuambia kua "watoto" wa Arsenal huwa hawana nidhamu ya mpira nadhani mpaka sasa utakua umenielewa vizuri!!Binafsi sikuona mchezaji serious wa kuwapa hawa Arsenal kombe, nani labda?
Iwobi anayepiga chenga zisizo na maana
Ozil cha uvivu
Kweli kocha wa hili kombe wako nae, ila je anawachezaji gani?Msimu mzima huu wao wana beki mbovu haijawahi tokea, Ebu tusubiri ila mi niliwaua Arsenal
Daah!! Hii timu nikiiamini inaniua... Nikiiua inashinda.
Ila sio siri arsenal wana timu mbovu saana.
Utoto mwingi Mkuu,Daah!! Hii timu nikiiamini inaniua... Nikiiua inashinda.
Ila sio siri arsenal wana timu mbovu saana.
Nitaikumbuka sana 1xbet kwa hizi option.
Kutamu sana huku, fanya ujeNitaikumbuka sana 1xbet kwa hizi option.
Kama nakuona mkongwe na zile stake zetu za 100k...hakika utakuwa umemlaza na viatuKutamu sana huku, fanya uje
Habari Wana Jamii
Nimepata laini ya safaricom
Naomba msaada na ya kudeposit kwenda safaricom
Ila Aseno ni nyokó. 4-1Wale wazee wa single 1xbet
Nime pick single 22 tayari
Nachambua tena nipate single 10 za ku stake
Chagua zinazokufaa
Stake wisely
NB
Samahani kwa watakao kwazika maana nimezimwaga kama Pdidy View attachment 1111210View attachment 1111212View attachment 1111213View attachment 1111215View attachment 1111216View attachment 1111219View attachment 1111223View attachment 1111225View attachment 1111228View attachment 1111229View attachment 1111230View attachment 1111231
Mkuu kama hutajali ntaomba accumulator za champions league utupie nitembee na wewe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Betpawa majeuri kwa wapenda in play wanachotufanyia wanaweka mechi za usiku halafu Wanapa na magoal kumbe hazijacheza .
Aliyekuuzia alaaniwe. Hakuactivate roaming.Laini yangu ya safari com tokea niinunue haina network View attachment 1111643...ninaomba kuelezea hio roaming system inaoperate vip
uwe unasoma comments za nyuma. mbna walielekeza sana. tusiwe kila siku tunaongelea kile kleHabari Wana Jamii
Nimepata laini ya safaricom
Naomba msaada na ya kudeposit kwenda safaricom
Natuma tena kwa heshima yako mkuuuwe unasoma comments za nyuma. mbna walielekeza sana. tusiwe kila siku tunaongelea kile kle
Natuma tena kwa heshima yako mkuu