Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Etoo wasaidie ili wawe salama mikoni mwa kanji
Sawa mkuu, leo line zinaingia dar. Kwa siri sana unanicheki WhatsApp 0719957092 nakuelekeza kwa kwenda kuichukua. Ukiwa na pesa yako mkononi. Nashukuru mliumaliza mzigo wa wiki iliyopita, nimewaletea mzigo mpya.
 
Wadau nashauri muwe mnatest mitambo kule AUSTRALIA kwa option ya over 1.5 au 2.5. Kuna hela za wazi sana aisee
 
Jeonbuk ana umeme na nlimpa direct win. Tusaidiane kubana pumbu ili wasichomoe
 
Kaongeza goli la pili mkuu hivyo umeshinda
Hiyo imesoma. Mrusi namrukisha kichurachura tangia jana. Ngoja niende sokoni nichukua jogoo la kienyeji wakati nikipanga mashambulizi pale CHINA kwa GUANZHOU na GUOAN
 
hivi burma tv inayotumika kustream ni ile ya icon ya blue au ni ipi wakuu
 
Umeeleweka, ila usiweke Set na Quarter kwenye kapu Moja, umenichanganya kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…