1xbet Sports - EA
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 789
- 729
[emoji120][emoji120]aaa sory mkuu nilishazoea tennis ndo kuna set. by the way kwenye basketball naongelea quarters
Pia kuna wadada wengi wanabet WAO wabane nini?Jeonbuk ana umeme na nlimpa direct win. Tusaidiane kubana pumbu ili wasichomoe
mfano apo ipo quarter 3 na points ni 67 na ili kufika point 100 inahitaj ooint 33.unaangalia sasa quarter ya 1 had ya 3 kama zlifka hata 30 .unaanua kuweka under 100 au under 102.apo kuna uwezekano mdogo sana wa kuloose mkekaView attachment 1115173
mawazo yangu haya af pia tuko yofaut katka kubetBadala ya kuhangaika na under 100 yenye odd 1.2.. kwanini nisiweke over 100 yenye odd 3+ na bado nikala?? Hii trick yako inatia wasiwasi..
View attachment 1115299
AiseeNataka niweke laki nimuue liverpool wakuu
Naomba ushauri kabla sijajilipua kwenye hilo booomu
Wadau inachukua muda gani Ku withdraw hela 1xbet kwa kwenda safaricom?
Mtandao ukiwa sawa ni sec 40Wadau inachukua muda gani Ku withdraw hela 1xbet kwa kwenda safaricom?
Mkuu kikapu vipi Toronto raptors watawakazia GSW tena leo? Maoni yako tafadhaliHizi mechi za finali mi huwa sipendi kucheza magoli maana sometimes huwa wanakamiana unakuta goli linapatikana dakika za mwisho hko,mimi personally nimetupia laki 2 kwenye mchezo wa Card under 5.5 cards liwalo na liwe..
Daaaa huyu GSW nataka nimwamini leo japo last time walikutan akacgezea vikapu vya kutosha sasa sijui leo kama atakubali tena japi kikosi kuangalia ni muhimu kwanzaMkuu kikapu vipi Toronto raptors watawakazia GSW tena leo? Maoni yako tafadhali
Last time alizidiwa sana nataka kujilipua na raptors n over 213 liwalo na liweDaaaa huyu GSW nataka nimwamini leo japo last time walikutan akacgezea vikapu vya kutosha sasa sijui leo kama atakubali tena japi kikosi kuangalia ni muhimu kwanza
Mkuu kikapu vipi Toronto raptors watawakazia GSW tena leo? Maoni yako tafadhali
Poa poa mkuuDaah hyo game ngumu sana kutabiri mshindi mkuu, maana yoyote anaweza kushinda sema kama nilazima nitaje mshindi nitasema Raptors wanashinda tena maana Game 1 alishinda, but kama unataka uweke hela bora ucheze mchezo wa Over/under
Mkuu usisahau kunishukuru cheza hivi.Poa poa mkuu