Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu unapotaka kuwithdraw kuanzia Tshs. ngapi ndiyo watakuomba hizo documents?
 
Inasemekana sadio mane asicheze leo kwa sababu ya kadi. ila ktk 1xbet option ya no player to score goal kapewa odd ya 1.7 hata ikitokea asicheze je kuna tatizo lolote?
 
Inasemekana sadio mane asicheze leo kwa sababu ya kadi. ila ktk 1xbet option ya no player to score goal kapewa odd ya 1.7 hata ikitokea asicheze je kuna tatizo lolote?
hiyo option lazima mchezaji awepo kwenye kikosi cha kwanza, asipocheza wanakurefund
 
this is football guys.....
 

Attachments

  • Opera Snapshot_2019-06-23_022751_www.princessbet.co.tz.png
    10.8 KB · Views: 44
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…