Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Aweke mifumo yote ya pesa kwa kila mtandao na aache kuwapa watu masharti mia moja wakiwa wanataka kutoa pesa. Mbona wakiweka hamna usumbufu. Kutoa anaanza kuulizia mavitambulisho na picha!
1. Stake 10,000 unapewa 20,000.Na freebets kwa account mpya wanatoaje? Ufafanuzi tafadhali
Wozaaaaaaa...!! LOngolongo OverrrStay tunedView attachment 1174928
Ah ah ah hii ktambo saana mkuu..Nimekaa nimekumbuka zaman tulikiwa tunathaminiwa na makampuni ya bet, mfano MERIDIAN ulikuwa ukishinda ukatoa kwa mpesa wanakutumia na HELA YA KUTOLEA
Na pia hama unatoa chini ya 21,000 hakuna usumbufu, utatoa utakavyo hakuna kudaiwa IDHiyo huwa inatokea mara 1 tuu ukiwapa hvyo vitambulisho unateleza tuu halafu sio jambo gumu maana unawatumia whasapp simple kabisa
Mkuu leta info kamiliStay tunedView attachment 1174928
Leo timu za uefa zimetulawiti
Unatumia kampuni gani?Msaada jaman ambae anatumiaa SAFARICOM kubet karibu naomba msaada kutoa pesa kule maana najitahid kuitoanashindwa inabak inapungua tyuu na sahz wamesem hawatumiii mobile payment so anaetoaga anisaidie basiii nifanyajeee
NakaziaUmelawitiwa wewe peke yako
[emoji23][emoji23][emoji23]Umelawitiwa wewe peke yako
1xbet mkuuuuUnatumia kampuni gani?
Ulideposit kwa njia gani? Kama safaricom huwezi kutoa sababu wameondoa njia ya withdraw.1xbet mkuuuu
Kweli mkuu..mi nisipobanwa na majukumu, hua najitahid niingie ili nisiptwe na chcht kile mana nakuta notifications ni nying sana hlf sasa mi hua napenda nisome kila comment!Humu panahitaji moyo ukipotea siku mbili tuu unakuta 375 new posts sasa kupitia zote hizo ni kipaji