Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau,hivi hawa Bitcoin hawazingui kweli kwenye kutoa hela...maana nataka niweke mpunga mrefu kwenye account yangu ya 1xbet sasa ninahofu huenda nikiwapiga parefu pesa zangu zinaweza kugoma kutoka..si unajua hawa 1xbet ukiwapiga mkwanja mrefu huwa ni shughuli kuitoa
 
unatoa kidodokidogo, ya nn uhangaike
 
ila njia ya malipo ni kutumia email na phone no
ndio ndio
wanatuma notification kwa safaricom wao safaricom wanakuwekea sehemu ya pin ili ukubali kiasi ulichotaka kitumwe wakikate na kuwatumia jamaa.
 
Yan humu mie huwa nacheka Sana Yan ukipost mkeka ukaupaint rangi njano utaskia kampun gan hyo nataka niwajaribu mwingine akisikia hyo n meridian ya Brazil utaskia unadeposit vp mbona mie nimeshindwa Yan kunawatu washaliwa kabla hata hawajabet Yan we kampun iko registered may be Finland mungu amekusaidia umekula USD 1m unafikiri account yako utaweza kuitumia Kama nlivyokuwa unaitumia hapo ndo utajua Hawa jamaa hawakuja kukupa hela Bali kuchukua pesa zako.

Unawaandikia email unataka kuchukua mpunga wako wanakwambia njoo ofisini kwetu uje na ID zote sasa sijui mzee baba huko Finland utafikaje.

Usalama wa pesa zako unaanza kwa urahisi wa kuzifikia, kuziona Tena zile karatasi ndo rahis kulipwa kuliko huku online.
 
Mzee baba betting in zaidi ya business planning kwenye utekelezaji. Bado hujaweka hela ushawaza kuwapiga mpunga mrefu na washakugomea kutoa. Pitia post kwanza upate uzoefu wa betting. Matarajio ni tofafauti na kabisa mafanikinio. BE AWARE.
 
Mzee baba betting in zaidi ya business planning kwenye utekelezaji. Bado hujaweka hela ushawaza kuwapiga mpunga mrefu na washakugomea kutoa. Pitia post kwanza upate uzoefu wa betting. Matarajio ni tofafauti na kabisa mafanikinio. BE AWARE.
Nakushauri nenda ABC BANK UPATE CARD
 
Kwa kipigo nilichopata Jana. Sitamani kubet na nmekata tamaa. 2 odds zimekula mtaji wote.
Najipanga nine na mbinu LA tren LA SteveMollel labbda itasaidi ingawa mahesabu hata goli moja kwa dk 90 zimegoma. Shikamoo betting.
Mkuu, huwa inatokea. Siku zote, asikudanganye mkamaria yoyote yule, loss ni nyingi kuliko won, hvyo cha kufanya ili uwe unaona pesa inabidi hizo won ambazo ni chache ziweze kuziba loss na pia zijaze faida juu yake! ... mimi ni kawaida kulose hata mikeka minne katika mitano, ila mmoja nnaoshinda unarudisha pesa ya mikeka yote minne na faida juu yake.

Karibu mkuu.
 
Mzee baba betting in zaidi ya business planning kwenye utekelezaji. Bado hujaweka hela ushawaza kuwapiga mpunga mrefu na washakugomea kutoa. Pitia post kwanza upate uzoefu wa betting. Matarajio ni tofafauti na kabisa mafanikinio. BE AWARE.
Asante mkuu...ila mim nilikuwa nataka kujua tu Kama kwenye malipo wapo vizuri ili nisije nikangia kichwa kichwa baadae nikaja kujuta
 
Betting bana... huwa najiuliza kuna watu wanapost won akiwa ameweka stake milioni ama laki mbili kwenda juu, tena kaiwekea kwa mechi mbili ama moja tena yenye odds 1.5, akishinda anashinda laki mbili, tatu au tano, akiliwa analiwa milioni ama laki zote alizoweka! Sasa mtu huyu masikini akishinda mikeka mitatu, akaliwa mmoja, hamna anachofanya ... anaruka makida tu.

Usione mtu kapost hapa kashinda milioni kwa laki mbili ama tatu, huko nyuma tayari ashalipia milioni mbili kwa Kanji... [emoji23] [emoji23] ni kwamba wamegawana hasara
 
Betting ni kiazimana ki siri kama hujui, leo unampa kesho anarudisha
 
Mwingine unakuta kashinda labda laki moja afu anashangilia mpaka mishipa ya uso inatuna anakwambia amemkalisha mhindi😀😀😀 chaajabu ukicheki kwenye bet history kuna lost zaidi ya laki tano

Betting acheni iitwe Betting mamaee😁😁
 
Wakuu muwe mnapata muda wa kujitathmini na sio kukimbizia pesa tu kwa mhindi. Huwezi fanya tathmini kwa mkeka mmoja, miwili au matano.... tazama katika mikeka mitano mpaka kumi, umewekeza shingapi na umepata shingapi... mambo ya kupiga mshindo wa laki 2 alafu mikeka mitano mfululizo unatangwa laki mbili mbili ni UJUHA.

Kama huingizi pesa, tazama unaangukia wapi? Shida nini? Na asikwambie mtu, betting ni MKAKATI na CONSISTENCY, si tu kumwagia mapesa bure. Una mkakati gani, au wacheza tu kama NYUMBU?
 
Ndio maana inashauriwa kutulia kwa muda na kufanya reflection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…