We acha tu mkuu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24], lucas moura sio mtu mzur hat hvyoWakati we unaishukuru VAR sisi huku tunailaumu sana, ndio utakapojua kuwa hii kazi ni ngumu na Mungu hahusiki nayo kabisa. ametuachia sisi wenyewe tukanyagane na mhindi.
Mlisubr ligi za mpira zianze sasa zimeanza[emoji1787][emoji1787], saiv mnasubr za basketball [emoji113]Kuanzia October league nyingi za basketball zitaanza ukiwa makini kanji atapata tabu sana, cha msingi jiunge na betting sites ambazo zina michezo kama yote mfano mzuri PARIMATCH, SPORTPESA, BETPAWA, SUPERBET, PRINCESS BET NA MINGINE KAMA UNAIJUA ILA MM HII NDO NAIOA THE BEST KWA KUWA NA OPTION TAMU NA NYINGI INGAWA ZINATOFAUTIANA KIDOGO
Sijui yeye labda anavizia saa 9 usiku maana wengine kila tukijaribu tunakutana na SERVER ERROR.Mzee baba kitambo sana humu..Naona Meridian umegoma kuwaacha
[emoji38][emoji38][emoji38]tutaona mengi sana.. Kuliwa kupo pale paleMlisubr ligi za mpira zianze sasa zimeanza[emoji1787][emoji1787], saiv mnasubr za basketball [emoji113]
Mkuu nimesema hivyo kwakuwa mm huwa Mara nyingi nabet basketball na ndo huwa inanipa pesa kwa kanji hata sasa hivi kuna game za basketball lakini za kimataifa lakini pia ni chache....na hizi sites zetu game zingine hawaonyeshi!!Mlisubr ligi za mpira zianze sasa zimeanza[emoji1787][emoji1787], saiv mnasubr za basketball [emoji113]
SAN LORENZO HT X
BOOOOOOOOOOOOOOOOMView attachment 1184105
Wakati we unaishukuru VAR sisi huku tunailaumu sana, ndio utakapojua kuwa hii kazi ni ngumu na Mungu hahusiki nayo kabisa. ametuachia sisi wenyewe tukanyagane na mhindi.
mbona sjaelewaBRONDBY
CORNER FT X
8 ODDS
BRONDBY
CORNER FT X
8 ODDS
Kweli mkuu nipo nawewe 100% Mimi virtual game ni me cheza Sana nika gundua naliwa Sana nikaachana kabisa na virtual gameSiri ambazo kampuni za kamari hawataki tuzijue
1.Accumulator :Si unaona bonus ? Uongo mtupu..wanaoenda zaidi mikeka (Accumulator) ili tuliwe kuliko singles, doubles au treble.
2.Account Limit:Hawa jamaa kuna baadhi ya accounts wanazifungia wakiliwa sana..hii ni pamoja na kupangiwa kiwango cha kutoa na kuweka.
3.Tracking:Najua mtabisha,lakini tunafuatiliwa sana..hapa wanatumia IP address,cookies na vitu kama hivyo.lengo wajue kama kuna ujanja ujanja na vitu vingine.wanajua nani huwa anaweka mzigo wa maana na anawala sana na anatumia option gani.
4.Wanawasilina: Hawa jamaa wanawasiliana kabisa na si ajabu wana group lao la WhatsApp.. Lengo ni kuwajua wakali wa hizi kazi na namna ya kuwashughulikia.
5.Usiangalie udogo wa odds:Hili liko wazi..wanaweka zile kama muongozo tu..lakini muhimu ni performance, mazingira na mengine ndio yata determine ushindi wa timu.
6.Kutangaza washindi kwenye media:Hapa sitaji kampuni nadhani tunaona wanavyopiga promo.. Lengo uvutike uliwe.
7.Virtual game utaliwa milele:Kule kuna wakali wa Computer ambao wao kazi yao ni kuhakikisha unaliwa.
Kama kuna zingine unaweza kuongezea..
Nimetoa kwenye vyanzo mbalimbali..
Indonesia w ov4.5
/Cambodia w ov2.5 (maxb)