Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Uchizi....Sasa Man U ana nn?angekuwaje nafasi hiyo Aliyokuwa kama Ana Back line Nzuri?kweli bangi Mbaya Sana
Wewe ndo una uchizi na akili huna kabisaaaa hata ya kuona huoni ukiachana na liver,sheffield,na leicter city man united ndo timu pekee iliyo ruhusu goli chache epl ndo maana na kwambia ana backline nzuri tatizo la ufungaji ndio linaifanya iwe pale alipo pumbavu wewe.

Team gani iliyo ifunga man u goli zaidi za mbili msimu huu zaid ya crystal na westham??

Kuwa na backline nzuri haimaanishi uwe nafasi za juu kama huna wafungaji njoo ubishe kwa fact **** wewe.
 
Pamoja
Ngoja tugange yajayo
 
Wakuu, namba ya akaunti ya Bitcoin naionea wapi????

Nimefungua Akaunti kwa Local bitcoin....ila Sijafahamu namba yangu ya Akaunti ya Bitcoin[emoji134]...naiknea sehemu gani???
 
hawa majamaa nilitaka kujiunga nao nikashindwa kwani sikuona optn ya nchi yangu Tz afu kweny pesa nikaona mamb ya euro. Yaan nataman nijiunge nao ila nashindwa
Samaki ili umnase, fanya hivi..

(1) Hakikisha umeenda eneo ambalo samaki wanapatikana. Yani usijaribu kwenda kumnasa samaki kwenye kidumbwi cha maji mtaani kwako. Nenda bwawani huko au mtoni.

(2) hakikisha una ndoano nzuri

(3) Hakikisha una chambo ambayo samaki wanapendelea zaidi.

Hapo samaki lazima anase.
 
duuh😱😱😱
 
Mkuu Hawa Wanatoa Tips For Free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…