Hatari sana sisi tulioko huku na vijijini tuwe wapole
Naomba maelekezo kidogo kuhusu uwekaji wa pesa maana nimejaribu kufungua account nimefanikiwa Sasa wakati naweka pesa kwenye Skirll account kuna vimaneno viwili vimetokea yaani NON Gambling na Gambling alafu kile kidot kimekaa kabisa kwenye Non Gambling je kama nitaweka pesa pia skrill account inaweza kukubali kupeleka pesa kule 1xbe?Ndo njia ninayoitumia tangu wafungie mobile transaction mwaka jana
Sijakupa vzr mkuu code zipo huwa wananitumia nikitaka kutoa hela hela,sasa nimtumie nani hiyo code ili nipate hela yangu,maana no zao zote hazipatikani.Unaweza ku withdrawal online ila watakutumia codes kwenye email yako uliyoitumia kujisalia,kama kuna mtu unamuamini utamtumia hiyo code, account namba na kiasi ulichotoa
Acha undezi basi! Umesoma alichokuambia au unakurupuka tuu kukotiSijakupa vzr mkuu code zipo huwa wananitumia nikitaka kutoa hela hela,sasa nimtumie nani hiyo code ili nipate hela yangu,maana no zao zote hazipatikani.
Pyramids odds mlima...yanga wamejipanga au bookmakers wanatutisha ?
Kwa kikosi cha yanga holding moja na aina mpira wa pyramids leo kuna dhahama pale kirumba siyo chini ya goli mbiliWanatutisha mkuu ukiwafata ao noma
Yanga anakufa Kirumba leo,Kweli yanga leo wanawataka ubaya waarabu kiungo mapinduzi na ngasa hawakabi vizuri ,holding ni makame pekea yake aiiii kuna dhahama leo kirumba pale
AsanteAcha undezi basi! Umesoma alichokuambia au unakurupuka tuu kukoti
Yanga ananafasi nzuri ya kupata matokeo kuliko waarabu kama wakituliaKweli yanga leo wanawataka ubaya waarabu kiungo mapinduzi na ngasa hawakabi vizuri ,holding ni makame pekea yake aiiii kuna dhahama leo kirumba pale
Mzee baba naona unapiga miguu yote! Kampuni zote we twende..SaafiiMkuu hii ni hadi kwenye maduka yao
Ngoja tuonecs yanga
2-2/1-1
ht x