Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi naomba jibu moja tu,
Mikeka iliyoshinda inaletwaga humu kwa lengo lipi? Hapa naomba kueleweshwa kwa hoja.
Kutiana hamasa kwamba kuna kipindi japo mara moja moja huwa tunalipiza kisasi kwa mhindi
 
Huu sio uthibitisho kaka hii ni editing nyingine
Ukiangalia tu hiyo screen shot utaona ina mbonyeo fulani haiko square
Pili huo muda wa utoaji hela nao ni kosa la kiufundi

Post mikeka kabla acha longo longo kaka
Step ya pili kapost transaction step ya tatu aifungue mikeka utata umalize sio Kaz kubwa hiyo
 
Kwani jamaa ametumia Ixbet au 22bet naona mm naiona km 22bet rangi yake alafu km ni Ixbet mbona Kuna mkeka ambao unapending huo mkeka upo chini? Badala ya juu au hii yngu mm na zenu tofaut mm mieka yngu inakua juu ilowon na lost inakua chini
 
Mbon Alifungua Mkeka Wa Milioni 3 Kabla Ya Kula Ikibaki Millwall N Baada Ya Kul! Rudi Nyuma Utauona
Achana nae boya huyo nifungue ili anipe faida gan kanji amesha mvuruga..haamin kinachotokea
 

Attachments

  • Screenshot_20191029-083801_Print Spooler.jpg
    132.3 KB · Views: 14
  • Screenshot_20191029-083837_Print Spooler.jpg
    139.1 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…