Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

unatoa bila shida,tena hata bila kuibet hiyo amount uliyodeposit..jaza details zote skrill na hakikisha unasema deposit kwa ajili ya gambling purpose ukiwa unadeposit.na ukishadeposit unarequest withdraw kupitia skrill
Mķuu nimekupm...msaada wko ndgu
 
W
Si mtumie sportpesa wao hawana hizo shida ndogo ndogo za kutoa au kuweka kwani hizo kampuni mnazo zilalamikia zimewapa nini mbona mmeziganda hivyo
Yaani ni sumbuke kumla mhindi na kutoa pesa yangu nisumbuke
akitumiahiooyakoo wanaliwa bora wachelewe KUTOA kuliko kuliwa
 
Si mtumie sportpesa wao hawana hizo shida ndogo ndogo za kutoa au kuweka kwani hizo kampuni mnazo zilalamikia zimewapa nini mbona mmeziganda hivyo
Yaani ni sumbuke kumla mhindi na kutoa pesa yangu nisumbuke
Mkuu sio kwamba sportipesa hawaioni ila nayo ina kasoro zake kwa mfano kwenye soka mechi zao sio nyingi kama kwa mfano parimatch, kingine kodi, kingine odd zao sometime ni ndogo compare na wengine ila ni kweli kutoa hela wao ni fasta! Kwa hiyo mtu anaona bora aende kwenye kampuni ambayo atamaximize pato lake kwa kuwa kutoa ni lazima atatoa tu
 
Sawa ila kwangu mimi kuliko niangaike kutoa hela yangu au kuweka hela bora nicheze tu sportpesa
 
MAXB ZOTE
CYA N GROUND
WEKA MKE NA WATOTO
 

Attachments

  • Screenshot_20191104-141825.png
    20.4 KB · Views: 16
  • Screenshot_20191104-141954.png
    27.3 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…