Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa ufupi kama hawakuchaji pesa huo uscammer unatokea wapi?

Jamaa akubali kujifunza tu hivo vitu vipo kama hao betswall wapo ila kujua who has luck kwa siku hiyo ndio ngumu.
 
Mkuu wewe tupia kwan humu huwa tunajua nani atashinda bhasi ni ile ku jarbu tu
Nimeendaka wall link nimechagua vyuma kadhaa wa kuweka kwenye treni langu natuma kabla mechi haijaanza ili baadae tumalize utata kua ni kweli au uongo
 
Wadau .....Naomba msaada Wa Kupata Option ya no penalts ....au no Red card...Kwa KAMPUNI ya Play Master(PM)...kila nikiitafuta Siipati wakubwa...Msaada please
mkuu simama hapo hapo mimi hii opt inanitoaga kila wikienda kati ya mikeka 3 lazima moja utiki sema inabid uweke dau nono.
 
Wakuu mbona nikitaka ku deposit kwenye bet pawa naambiwa transation cancel shida nn anae fahamu msaada please
 
Mkuu Sultan S. Abdallah tupate treni la leo bado nina imani kubwa sana na ww
 
Leo team zimekaa njema sana kama week iliyopita leo khanjii lazima alie kwa namna yoyote ile,ila jini anaweza kuwa Leicester, lask,napoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…