Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hongera wengine tumetoka huko baada ya kuachwa mikono kichwani kidogo tunapumzisha akili japo kina aserno wanazingua lakin pesa ya vocha inapatikana kuliko huko uliko huko ni upepo wa kisulisuli ukienda na ww utajiona ww bingwa ngoja ubadili uelekeo unaweza zani kuna mtu yupo anasubiri uweke namba aweke kaset mitambo kinyume na ww spin two sichezi teeeena hata mnionyeshe million ngap bora nikop mkeka bila kueedit kuliko huko.
View attachment 1283643ngoja nacc tuujaribu uu naona unakuja kuja apo nilitaka stake laki mbili muindi angefunga duka
 
Huu mchezo bwana acha tu mwanzoni nimeufurahia nilianza na buku saba nikapigwa nikairudisha tena nikaipandisha mpaka elfu ishirini imenipiga yote tena na zaidi
 
huu mchezo ni mgumu sana subiria ukianza kukugongesha hautasahau
 
TOTAL ODDS 2
Fenerbahce Vs. Genclerbirligi 2+goals
Hamburger Vs. Heidenheim 2+goals
Almere city Vs. Top Oss 3+goals
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…