Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mh mi mwenyewe naisubiria hiyo itoe 1.5 ov nikae kwa raha kuna mkeka nimeufata una odd 17+ unaenda vzr lakini wao ndio wanangaliana kama majogooo
Hii game ya ujeruman inayocheza sasa iv nataka niifate online na over 1.5 ushauri mnaonaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…