Lakin Mkuu mbona ule wa Dark web ulikula??Naomba msiufuate....leo nimevurugwa baada ya kuchezea vichapo jana na juzi, kwahiyo leo hii ni mihemko tu!!!....kama Mungu atajalia haya.....Inshallah!
View attachment 1289065
Duh kwa hyo inawezekana hata mzee baba yule wa laki nane yalimkuta haya, kila akiklik ije black wazee wa it wanaclick ije greeSiku niliyoacha keno ni baada ya kwenda makao makuu ya kampuni moja maarufu sana kwa options nyingi za futball na kukuta wahudumu wapo busy na computer kila mtu na yake ukiweka pesa nyingi kwenye number mf 5 itoke ukaweka laki 1 yeye anabonyeza kibutton cha kuchange mzunguko niliwasoma kwa Kama saa 1 nikiwa narekebisha ticket yangu ya futball toka hyo siku KENO BYE BYE BYE
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaipataga wapi kaka??Hii inafanana na ile ya jana ............mmmmh! wajuzi tujulisheni hii kitu ipo sawa tuifuate???...mimi moyo unakataa kabisa kama jana !
View attachment 1289072
💸💶💷📥View attachment 1289226View attachment 1289228Nasibilia kipenga kipulizwe 700 inaleta 500k+
Mkuu ungetia hata 10000 hapo aisee umezinguwa kweli chief ungekuwa karibu ningekupiga ngumi Kama za Tyson.[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] Nimemind vibaya yaaaniView attachment 1289226View attachment 1289228Nasibilia kipenga kipulizwe 700 inaleta 500k+
Huu mkeka ulikuwa wa kibabe sana. Maana ulihitaji mtu mwenye roho ngumu sana kuusuka.View attachment 1289226View attachment 1289228Nasibilia kipenga kipulizwe 700 inaleta 500k+
Kwann blodMkuu ungetia hata 10000 hapo aisee umezinguwa kweli chief ungekuwa karibu ningekupiga ngumi Kama za Tyson.[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] Nimemind vibaya yaaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sana mimi ndo odd zangu izoHuu mkeka ulikuwa wa kibabe sana. Maana ulihitaji mtu mwenye roho ngumu sana kuusuka.
Kuspin kusikie tu mkuu.Huyu Shaktar Donesk huyu yaan 1X imemshinda kabisa?.duuh heri nispin tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka utaufunga vizuri aisee.View attachment 1289226View attachment 1289228Nasibilia kipenga kipulizwe 700 inaleta 500k+
[emoji15][emoji15][emoji15] YOU DID IT BROTHER[emoji119][emoji119][emoji119] finally I got my role model naomb nije pm uniongzeee kitu