Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yeah,nilishasema kaeni mbali na odd ya 1.41 kwa kuipa WIN,labda uipe draw,record ndivyo ilivyo.

Leo hivi kwa wale wa m bet

R.Madrid
Middlesbrough
Asernal
Cardiff

Bado naendelea tafakuri juu ya Wolfsburg na Bristol rovers.
 
Yeah,nilishasema kaeni mbali na odd ya 1.41 kwa kuipa WIN,labda uipe draw,record ndivyo ilivyo.

Leo hivi kwa wale wa m bet

R.Madrid
Middlesbrough
Asernal
Cardiff

Bado naendelea tafakuri juu ya Wolfsburg na Bristol rovers.
Bristol rovers na Wimbledon.... Ni mechi tata kiasi... Wamecheza jumla ya mechi 7, Bristol kashinda game 4 Wimbledon kashinda 1 draw mbili.... Tangu 2013 mechi zao zinamaliza sare.... Tukija kwenye takwimu zao... Bristol akiwa home kucheza game 16.. Kashinda 8 kadroo 2 kapoteza 6, kafunga goli 24 kufungwa goli 17.... Wimbledon away kucheza mechi 16 kashinda 7 kadroo 7 kapoteza 2, kafunga goli 26 kufungwa goli 17..... Ukicheki hizi takwimu kila timu inawastani wa kupata goli 1.5 kwa mechi.... Option ya kwanza best ni both team to score (odds nzuri), second best option ni 2+ kila timu inawastani wa kufungwa goli kila mechi na kufunga goli kila mechi.... , tatu mpe timu yoyoyote ishinde, kwa nini!! Bristol akiwa home wastani wake wa sare ni mdogo (sare 2 kati ya mechi 16) ni aidha anashinda au anafungwa.... Uchambuzi wangu umeishia hapo ila kumpa ushindi timu moja ni risky sana
 
[8/8]
1254 08-03 22:45:00 Real Madrid-Roma
Final Score 1 1.38
1255 08-03 22:45:00 Wolfsburg-Gent
Final Score 1 1.47
0487 08-03 22:45:00 Dover-Welling Utd
Final Score 1 1.37
0556 08-03 22:45:00 Fylde-Corby Town
Final Score 1 1.29
0604 08-03 22:45:00 Ayr Utd-Stenhousemuir
Final Score 1 1.47
0605 08-03 22:45:00 Dunfermline-Albion Rov
Final Score 1 1.24
0494 08-03 22:45:00 Grimsby-Southport
Final Score 1 1.29
1369 08-03 19:00:00 Levadia-Parnu
Final Score 1 1.13
------------------------------------------
Total: 50000.00
------------------------------------------
Total odd: 9.53
Min win: 476303.61
Min tax: 76734.65
Max win: 476303.61
Max tax: 76734.65
Max payout: 399568.96
Combination count: 1

kama mbwai mbwai tu mamaeeeee.....
 
Mbili kasoro.
Leo vp?
 
Mtoto wa nzi.Factor inayotaka kunishawishi kumpa WIN bristol ni record nzuri ya odd 2.03 kwamba asilimia 75 ni ya ushindi na 24 ni draw.
 
Ila pointi 1.5 huwa ni ngumu saana kutoka...mara nyingi huwa ni draw au linapatikana goli moja kwa taabu saana
 
Mtoto wa nzi.Factor inayotaka kunishawishi kumpa WIN bristol ni record nzuri ya odd 2.03 kwamba asilimia 75 ni ya ushindi na 24 ni draw.
mi kusoma ushindi kwa kuangalia odds ....hilo sina ujuzi nalo.... ila kuna gambling probability formula natumiaga, niliikuta www.olbg.com mfano kama hiyo2.03, unaiweka chini ya moja mara 100 utakayopata ndio asilimia ya ushindi , yaani 1/2.03=0.49261*100 = 49.26 hivyo kwa hiyo mechi Bristol Rovers ana asilimia 49.26% ya ushindi....
 
Na Wolfsburg vs gent unawazungumziaje
 
Na Wolfsburg vs gent unawazungumziaje
hii kwanza ugumu unakuja ni international game, zinapigania taifa .... zimekutana mara moja tu , ambayo wollfsburg alishinda 3-2, na mechi ya juzi Gent na OL houven ALIPUMZISHA wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza ile sare ya 1-1 na timu ya pili kutoka mkiani anfikiri alikua analenga hii mechi, mimi nitaitazama tu.... ni ngumu ina hesabu nyingi ... ila both team to score itatoa
 
hiyo ni ngumu kumeza kichuna,japo lolote laweza kutokea
Hii game ngumu achana nayo kama vp lolote linaweza kutokea, mm nina watabiri wangu wakipishana uwa napata wasiwasi lakini wote wakiipa timu ushindi uwa nawafata na zinatoka sana
 
Hii game ngumu achana nayo kama vp lolote linaweza kutokea, mm nina watabiri wangu wakipishana uwa napata wasiwasi lakini wote wakiipa timu ushindi uwa nawafata na zinatoka sana
hawa jamaa wa forebet wakimpa mtu kuanzia 50, 80% ni win kweli
 
Naomba kujuzwa jaman kwenye both tear to score. kwa mfano

Hull city vs Asernal
3.04 * 1.75
Unaweka odd gan hapo? je nikimpa arsenal then akafungwa 2-1 hapo, tafadhari nisaidieni.
nakala kwa tracy, mtoto wa inzi, rockcity, kichuna, ablkareem na wengine wenye ujuz plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…