Napoli kupewa odds 3.2 ni uzushi au wamekosea?
Mi nadhani wamekosea leo kumpa Malmo odds 5.
Malmo si anacheza na wale salzbug?? Mtaliwa jamani msimpe kabisa huyo malmo
Mkuu tupia basi cape tuzione
Malmo si anacheza na wale salzbug?? Mtaliwa jamani msimpe kabisa huyo malmo
Ngoja mi nijilipue tu nawapa malmo na napoliMalmo na napoli leo msiwape
Walichonifanya leicester,celtic na west brom jana leo mpaka saa 10jion Sikuwa na mzuka wa kubet hata kidogo.Nimeweka mkeka m1.Arsenal na bayer leverkusen tu
jaman machi hizi za saa tatu cape slu hamna??
mi nataka niweke arsenal redbul na napoli zote cape slu...mnanishaurije