stineriga
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 2,172
- 887
Napoli kupewa odds 3.2 ni uzushi au wamekosea?
hawajakosea,
napoli anafungwa tena zaid ya goli moja
ushindi ni 1-0 au 2-0 au 2-1 au 3-0 au 3-1
napoli kama ni kupata goli atapata goli moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napoli kupewa odds 3.2 ni uzushi au wamekosea?
Mi nadhani wamekosea leo kumpa Malmo odds 5.
Malmo si anacheza na wale salzbug?? Mtaliwa jamani msimpe kabisa huyo malmo
Mkuu tupia basi cape tuzione
Malmo si anacheza na wale salzbug?? Mtaliwa jamani msimpe kabisa huyo malmo
Ngoja mi nijilipue tu nawapa malmo na napoliMalmo na napoli leo msiwape
Walichonifanya leicester,celtic na west brom jana leo mpaka saa 10jion Sikuwa na mzuka wa kubet hata kidogo.Nimeweka mkeka m1.Arsenal na bayer leverkusen tu
jaman machi hizi za saa tatu cape slu hamna??
mi nataka niweke arsenal redbul na napoli zote cape slu...mnanishaurije