Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ile calculator inapiga hesabi ya hela...leo bado nafikiria nitaweka bila kupiga hesabu,arsenal,villa,stoke,qpr,sunderland na timu mbili za brazil
 
Malmo si anacheza na wale salzbug?? Mtaliwa jamani msimpe kabisa huyo malmo
 
Wakuu leo nmecheza mkeka wa kawaida sana cz hamna hela...kesho ndio naingia kazini serious mechi xz
 
Mimi ni mwendo wa double chance mech 3 na ushindi wa kawaida kwa team mbili za uhakika dau langu la elfu 20.
naondoka 100,500 kwa uhakika

lazima iwe mjanja bhana ili kumkwepa mhindi
 
Game ya malmo ni ngum sana coz redbul salzbug ni nowma wale jamaa kwa game za ugenin
 
Walichonifanya leicester,celtic na west brom jana leo mpaka saa 10jion Sikuwa na mzuka wa kubet hata kidogo.Nimeweka mkeka m1.Arsenal na bayer leverkusen tu
 
jaman machi hizi za saa tatu cape slu hamna??
mi nataka niweke arsenal redbul na napoli zote cape slu...mnanishaurije
 
jaman machi hizi za saa tatu cape slu hamna??
mi nataka niweke arsenal redbul na napoli zote cape slu...mnanishaurije

Mbona unataka kutuzuilia Magoli?Waache wakafungane kwa ikiwa dk ya 20 arsenal anaongoza km 4 hv then nageuka kwa bayer leverkusen labda nitarudisha hasara yangu ya jana.
 
Back
Top Bottom