Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna muda uoga haifai

#usiogope odds
 

Attachments

  • Screenshot_20230420-065926.png
    26.1 KB · Views: 16
  • Screenshot_20230420-065938.png
    27.1 KB · Views: 15
Umesahau kuweka na langu pengine tunaweza pata chochote japo ndo kwanza tupo gairo 😁😁
Aahahaaaaa

Mkuu huu hapa

Nafikiria kuongoza hela
 

Attachments

  • Screenshot_20230420-071317.png
    26.2 KB · Views: 16
  • Screenshot_20230420-071328.png
    23.3 KB · Views: 19
  • Screenshot_20230420-071408.png
    21.4 KB · Views: 17
  • Screenshot_20230420-071428.png
    20.4 KB · Views: 16
hakika option ya draw or over 2.5 inatoa , hapo nilijaribu match zote za jana ucku kuanzia saa sita zilikua 28 nikaflex zikabaki 24 na ndio zimeboom... nilikua na trick moja hv.. inategemea na mtaji wako , anza hata na elfu 20 , kisha uweke mikeka 10 kwa stake ya elfu mbili.. mikeka hyo iweke kwa series bila kuruka match , yan kwa mfululizo , weka match kumi kisha stake elfu mbili , endelea tena match kumi zinazofuata kisha stake elfu mbili , hvyo hvyo mpk uwe na mikeka kumi ya stake ya elfu mbili , hii option ya draw or over 2.5 ina probability kubwa ya ushindi sababu itachana tuu endapo timu zikifungana 1 :0 , au 2 :0 , vinginevyo matokeo mengine ni win. KAMA MMENIELEWA REPLY BACK , jana imetoa timu 24 kati ya 28 , na nilifululiza match zote bila kuskip match , probability ni kama 85%
 

Attachments

  • Screenshot_20230420-081727_SportyBet.jpg
    62 KB · Views: 20
Maana yangu kati ya hiyo mikeka kumi ya elfu mbili mbili , ukitick mmoja bas hyo elfu ishirin yako itakua imerudi , na zikiktik zingine ndio faida
 
Leteni code wakuuu jana sikua na deposit leo tayari ndugu zangu wa betpawa odds 70000 nazitegemea code zenu naamini ipo siku nami nitapata mtaji nifungue biashara ya ndoto yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…