Nilisema Na yametimiaWabetiji kueni makini na Hii Bayern ya TUCHEL,inacheza ovyo Sana, haifai kuipa win KABISA, Tukibet kwa mazoea vilio havitaisha
Chief formula yako inakubali nilizifuata na faida stake na faida juu tunasubiri CODEkwa wale mliofata codes za draw or over 2.5 , saiz mtaona mtaji umerudi na profit
Sio mkosi,Ahhahaaaa
Nawaonea huruma
Labda Tuchel kaja na mkosi
ungesubiri kudogo lile wametoa ggNimekubali yaishe....
[emoji23][emoji23] wewe upo kila sehemuNilisema Na yametimia
Leo Hii mbuzi ya BAYERN imepigwa tena 3:1 , Wakamaria wenzangu tuiepuke kwa Nguvu zote[emoji4]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii mbwa hata mimi nilitaka kuitoa kwenye mkeka wangu, nikaponzwa na historia aisee. Yaani nilikaribia kabisa kuweka over 2.5 lakini nikasita. Hii sio timu kabisa.Nilisema Na yametimia
Leo Hii mbuzi ya BAYERN imepigwa tena 3:1 , Wakamaria wenzangu tuiepuke kwa Nguvu zote[emoji4]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa wale wa odds mbili mpaka Tano za karibu jiunge kwenye group langu hapo
Nimepata mtaji wa kesho,na huu mkeka Unaweza toa zoteungesubiri kudogo lile wametoa gg
Ha ha ha......[emoji1][emoji23][emoji23] wewe upo kila sehemu
Maisha ni popote mkuu. Yaani mimi ni wewe kabisa 😀 😀 😀 😀[emoji23][emoji23] wewe upo kila sehemu
Pole sana mkuu. Hayo matimu ya Romania sio ya kubet over; bet under 3.5 utapiga helaBotossani sawa bwana umeona ukitoa 0.5 ntafaidi sanaa
kama ni UWAKIKA sawa, lakini kama ulimaanisha UHAKIKA hamna kitu kama hicho kwenye betting.Kwa wale wa odds mbili mpaka Tano za uwakika jiunge kwenye group langu hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Tuchel tangu amefika bayernHii mbwa hata mimi nilitaka kuitoa kwenye mkeka wangu, nikaponzwa na historia aisee. Yaani nilikaribia kabisa kuweka over 2.5 lakini nikasita. Hii sio timu kabisa.
View attachment 2596513
Relaxkama ni UWAKIKA sawa, lakini kama ulimaanisha UHAKIKA hamna kitu kama hicho kwenye betting.
Rudi Facebook uwapelekee huu ujinga.
Bayern baada y Tuchel kufika,Sijui nilijichanganya vp kumpa kumpa Bayern. Halafu mkeka wote nilikua nimebeti magoli aisee... [emoji52]
Chief formula yako inakubali nilizifuata na faida stake na faida juu tunasubiri CODE
Trust me,Na jamaa alikua yupo kwenye makombe yote matatu baada ya tuchel kuchukua timu wameshatolewa kwenye makombe mawili na hili la ligi wanaenda kwa kusuasua wanaweza kulikosa piah