hakuna mechanism rasmi ya kubet lakin kwa wingi wa matches za siku kupata odds 2 ni rahis.Duuh.. mkuu hii strategy itatumia mechanism gani kufikia lengo..
Vp janjànaomba aliye serious kubet kibiashara tuanze leo mpango madhubuti wa rollover betting,
hii mbinu ndo ya kukufanya ubet kwa malengo na matumaini makubwa!
kuanza 10k kwa odd 2 tu per day.
akili zikikutana nyingi odds 2 hazikosi kwa siku
1. jtatu 10000 * 2 = 20000
2. jnne 20000 * 2= 40000
3. jtano 40000 *2 =80000
4. alh 80000 *2 =160000
5 ijm 160000 *2 = 320000
6. jmos 320000 * 2 =640000
7. jpili 640000 * 2 = 1280000
8. jtatu 1280000 * 2 =2560000
9. jnne 2560000 * 2 =5120000
10. jtano 5120000 *2 =10240000
11. alh 10240000 *2 =20480000
12. ijm 20480000 *2 =40960000
13. jmosi 40960000 *2 =81920000
14. jpili 81920000 - 10%(tax)= kiwanja, ofisi ya uwakala wa fedha na bmw x3
We tupia codes turuke nazonaomba aliye serious kubet kibiashara tuanze leo mpango madhubuti wa rollover betting,
hii mbinu ndo ya kukufanya ubet kwa malengo na matumaini makubwa!
kuanza 10k kwa odd 2 tu per day.
akili zikikutana nyingi odds 2 hazikosi kwa siku
1. jtatu 10000 * 2 = 20000
2. jnne 20000 * 2= 40000
3. jtano 40000 *2 =80000
4. alh 80000 *2 =160000
5 ijm 160000 *2 = 320000
6. jmos 320000 * 2 =640000
7. jpili 640000 * 2 = 1280000
8. jtatu 1280000 * 2 =2560000
9. jnne 2560000 * 2 =5120000
10. jtano 5120000 *2 =10240000
11. alh 10240000 *2 =20480000
12. ijm 20480000 *2 =40960000
13. jmosi 40960000 *2 =81920000
14. jpili 81920000 - 10%(tax)= kiwanja, ofisi ya uwakala wa fedha na bmw x3
Wakamalia mpo poa? hope mpo good[emoji123].
Ok vita dhidi ya kanj haijawahi kuwa nyepesi lkn tusikate tamaa tujaribu na leo.
Chuma hiki hapa.
Code:7446FE4. Betpawa[emoji123][emoji898][emoji483]
ni nzuri...tengeneza Mkeka wa leo tujarb🙏MNAONAJE TUKIJARIBU MFUMO KWA KUA TIMU NYINGI JANA ZIMETOA CLEAN SHEET BAS TUWEKE HII OPTION (HOME /AWAY or anycleen sheet)View attachment 2598152
Ndugu, betting ina zaidi ya miaka 100 tangu kuanzishwa, na bookmakers walishategua mitego yote ya kihisabati. Ingekua rahisi kama unavyodhani bac manguli wa hisabati duniani wangekua matajiri.Narudia tena kama hujui hisabati achana na mambo ya Betting.. Betting inahitaji uwe na akili ya hisabati ya kiwango cha juu sana.. nje ya hapo ni vipigo kwa kwenda mbele.. .. Narudia tena uwe unajua hisabati sio hesabu..
odds 200+, game 30...stake 1000, bonus 90k...... winnings 290k....Mechi ya mwisho goal la kwanza limefungwa dakik ya 95 goal la pili dakika 97 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]View attachment 2597866
True betpawa wanabonus mlimaodds 200+, game 30...stake 1000, bonus 90k...... winnings 290k....
hapa kwa betpawa winnings ingekua laki 5 plus.......
anyway, kwa matreni betpawa wataendelea kua miamba!
Kama uliweka hii code, fanya cashout [emoji847][emoji847]1C7E1BF 2.5 Odds Betpawa
ULITAKA NITUMIE NINI PUMA WEWE [emoji41]Hi infinix ndo una tumia kunijibu [emoji706][emoji735]️View attachment 2598302
We mzee mambo sio mazuri nini maana naona kabaki huyo tu alafu mimi cash out betpawa wameniondolea aiseeKama uliweka hii code, fanya cashout [emoji847][emoji847]View attachment 2598318