upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,089
- 4,535
Lost
Sasa Euro imechangamka first half over 1.5...tutegemeee magoli lukuki maana vibonde wanaanza kujitenga
hahaha ukicheza single bana raha sana kama upepo unaenda vizur.. lakini matatizo ya kucheza multiple bana ni vice versa.. mda huu unasema wooooooyooooooo lakini kuna pumbavu kweny risit litakufanya badae useme waaaaayaaaaaaaa.. cku hzi tunaocheza multiple hakuna cha kelele (ni mkono tu ndani ya suruali) mpk mwsho..
Hahahahaha ... mkono ndani ya suruali km mm niliwapa Russia/Slovakia Under 2.5, ... najiandaa kuchana kbs.
nyingine ziko vzr so far ...
View attachment 356764
Hahaha...mpaka dak 45 ziishe utakuwa ushaipata fresh, mbaya zaidi wasifungane mpaka dak ya 80, hizo dak 10 utaziona ka mwaka.Hahahahaha ... mkono ndani ya suruali km mm niliwapa Russia/Slovakia Under 2.5, ... najiandaa kuchana kbs.
nyingine ziko vzr so far ...
View attachment 356764
Hahaha...mpaka dak 45 ziishe utakuwa ushaipata fresh, mbaya zaidi wasifungane mpaka dak ya 80, hizo dak 10 utaziona ka mwaka.
Ngoja tuendelee kutega nyavu
Kups vs hjk helsinki...x2
Fc jazz vs lahti....2
Romania vsswitzerland...x2
France win
Bonyeza ticket alafu huu Julia utaona my ticket bonyeza utazionaNilikuwa mbet nikahamia meridian wenyeji naomba maelekezo ya kwenda mkeka maana nimefungua sielewi
Meridian kulog in kitendawili
#hatukomi
Russia k[emoji106] imebak wengne..nlimpa mtu asubuh wa osaka ikauwa zikatik zngne ila thanx alicover...Russia GG
Swirtzerland win o draw
Sao paulo i1-2
Cruzeiro 2-4
Bate win
Minsk 2-5
Lahti 2+
France i1-2