Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

c kwa uminyaji huu wa pumbu .. wadau na pumbu zikiumia matibabu ni india tena kwa kanji hahahahaha pesa inarudi
Hahaha...yaani ni bora upigwe mapema kuliko kwa style iyo ya dak 80 na kuendelea, inakufanya ubinye dak zote bila kupumzika.
 
huku wachawi hamna yuro baibai, kha mchina wangu wamempa viza ngoja nimtafutie skrin gadi.
 
Leeeeeeeo Tena;

England Half Time Goals UNDER 1.5

Germany GG

Odds 2.5
 
Bet bwana sometimes ina kismat. Usiku wa saa saba nilizipa timu za Brazil over 3.5 baada ya kuona wamefunga magoli mapema dk ya tatu. Sasa kuna timu ya sao paulo kila nikiweka inaandika "event not found" nikaamua kuiacha, asubuhi nacheki yenyewe tu ndio imetoa under 3.5.
 
Awa mkeka bet VP mbona hawapatkan et wanaservice au ndowanataka kuleft nn?
 
Nimegundua kitu nakuwa nachambua team mpaka odd 500, 170,150,133,75,86 na zote nakuta nakosa team tatu, mbili saa zingine hata unakuta ni moja tuu imechana. Sasa nataka niww naweka hapa mikeka yote kila mtu achambue hapo team zake tano tano ama tatu atakavyooamua yeye itasaidia.
 
Itakua poa sana mkuu
 
Nimeamua kumbadilishia avatar kanji maana kwa speed aliyokua nayo atapitia mtaji woote, maana ashakula nusu[emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…