Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Buddy unadeposit vipi premierbet

Unabofya neno deposite pale chini ya Username yako.......alafu unafata maelekezo, mwisho kabisa kuna reference namba unapewa ambayo hiyo sasa utaingiza kama kumbukumbu namba kweny Mpesa....
 
Bora yako mkuu, mimi nimeliwa 1M sitarudia kubet tena
Niliona nikataka kukufuta bado moyo ukagoma,nikaweka France normal win bado ukagoma,kuna jamaa akaweka 1st half draw bado ukagoma. Ndio nikaamua kucheki game kiroho safi.
 
Viapo vingine bhana havifai bora kuweka hela tu ukiliwa unatafuta nyingine​
 
Pole Sana jembe. Hela imeniuma sana hiyo. Tungeweka hata 300K kwa new York City. Mm sahivi nimekuja na ujio mpya. Nafuata odd 2 hadi 3 ktk mechi moja.
Naangalia mechi hapa....hahaahaaaaaa New York City nae kakalishwa 3-1 dakika ya 83.... Kuliwa kuliwa tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…